Msaada wa Ushauri: Kununua Toyota V8

Msaada wa Ushauri: Kununua Toyota V8

Sema kitu
Mashine nzito. Kama Uchumi unakuruhusu (kununua na kuihudumia), likaribishe home.

Umeuza eneo, ukapata hela, unataka ununue bigger liability nyingine (umesema gari unayo) badala ya kupanua empire yako kwa kununua maeneo mengine mengi/makubwa zaidi ya ulilouza!
 
Msaada wa Ushauri: Kununua Toyota V8.

Wakuu, niliuza eneo ndo nimepata pesa sasa maswali hela nimepata wapi nishajibu, kwahiyo sasa nina pesa.
juzi nimepita online nimeona tangazo kuna gari kali V8 inauzwa na nimelipenda na ni Toyota V8 namba D kali sana, hii imekuwa ndoto yangu kubwa kulimiliki sasa nataka nilinunue maana bajeti inatosha,

Je, kwa umri wangu wa miaka 25, ni uamuzi sahihi? Nipe ushauri wenu kwa uzoefu. Ila ushauli wa biashara sitaki.
 
Back
Top Bottom