Bila shaka kukiwepo na channjo dunia nzima , hakutakuwa na kwenda popote, kununua, wala kuuza bila channjo
Inahusia na chapa 666, hata church chapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uza na kununua gari yako kupitia Jerry Empire - JamiiForums
Si nimesema madalili mkae mbali na huu Uzi. Ha haahahaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe gari kati ya Rav 4 new model old au Haria new model au tupia gari lolote ambalo unataka kusukuma upate hela ya fasta
Liwe namba D njoo PM
NB: Madalali please msiniwekee maneno yenu ya zeengwe maana ninyi ndo mwajua sana kupandisha Bei za magari Mara mbili,
hapa nimewaandikia wenye magari...
Mkuu wingi wa watu huko tecno siyo kigezo sana keasababu tecno wanauza sana tanzania kwa mahesabu ya haraka ni zaidi ya simu laki 1 tanzania mzima kila siku hununuliwa na wateja
Hii ni Idadi kubwa sana
Wengine wanamissuse n. K
Nakiri tecno zina Shida but not to that extent mmeexagreat sana
Yesuuu!!!!
150 tena? Aah matumaini yangu Kwisha nimekuwa na matumaini ya kufa mtu ila kwa hapo mhhhh
Any way kila la heri watakao chaguliwa tukutane kwa update baada ya miaka 2 najua mtakuwa watu wengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.