Tecno kama mmechoka kutengeneza simu imara mkalime matikiti

Mgumu04 acha kuleta maneno ya shombo kama uzi umekukela pita kimya siyo kuleta maneno ya kipuuzi ili hali mwenzio ana hoja..


Nani asiyejua kuwa simu za TECNO ni mbovu?
---nakupa FACT ukitaka kujua simu hizi za tecno ni HOVYO narudia HOVYO KABISA nenda "Customer care yao pale kariakoo opposite na msimbazi police ghorofa la kijani" angalia idadi ya wateja walio rudisha simu kwa matatizo mbalimbali, tena simu hizo zipo ndani warrant na wakikutengenezea baada ya siku kadhaa tatizo linajirudia"?

afu wewe unakuja na maneno ya shombo kumkatisha tamaa mwenzio?

~ukiona post haikuhusu piga kimya~
Asiee nilikuwa nayo M 3 we niliponda ponda mwenyeweee
 
Kununua simu za tecno ni ukosefu wa akili na maarifa tuuu!!........Kuna simu imara, bora na impressive kuliko tecno na zinauzwa bei rahisi kuliko tecno zinazouzwa online!!..... zinauzwa kwenye masoko ya online kama vile Aliexpress, banggood, ebay e. t. c!
Lete link mkuu
 
Mimi natumia ka- Halotel kangu 8501 sijawahi kujuta. Karibuni.
Pamoja mkuu hazina shida wallah....mwenyew ndo natumia mpk sasahivi hapa.......nataka kubadili betri niliko hakuna maduka ya halotel hv zinauzwaje betr zake
 
Kuna ya kwangu linachelewa kujaza charge mpaka kero Mara linaanza kudescent wakati unachaji.
 
L8 tecno ziko powa sana,mi nimenunua tena kwa mtu yakaribia miezi 7 sasa haijawahi kunizingua lolote somemtime natumia internet huku naichaji tena zaidi ya lisaa bado haioneshi dalili za kufeli chochote

Niliipeleka kwa fundi kupigwa spana mara moja tu tena sababu iliingia kwenye ndoo ya maji na ilipofika kwa fundi ikapona dkk 0 tu,ina maana km ingekuwa na creature ya s.galxy au iphone hilo pia hilo la kutumbukia kwenye isingekuwa tatizo poa,haijawahi kuisha chaji pasipo kueleweka,haijawahi kuhit,km ni kupiga,kupigiwa,kutuma na kutumiwa msg tu betri yake inaweza ku survive 48hrs ukichanganya na matumizi ya internet 8hrs bila kuichaji

So,si kila toleo mizinguo jaribu hizi tecno L smthing especially L8,mimi mwenyewe kwa matumizi yangu sikutegemea km ningefika nayo mpk leo lkn bado ipo ktk condition ya upya na ina oparate vzuri kwa upande wa software
Subiri siku ikuletee mazingaombwe utaelewa tu ......
 
Subiri siku ikuletee mazingaombwe utaelewa tu ......
Haina dalili hiyo hata chembe na kwa mda huo wote nilioitumia hata ikizingua powa coz machalii wangu washanunua simu mara mbili mbili mpk sasa na ni tofauti kabisa na brand tecno

Naelewa tecno sio simu nzuri lkn hizi L8 zitakuwa tofauti
 
Mgumu04 acha kuleta maneno ya shombo kama uzi umekukela pita kimya siyo kuleta maneno ya kipuuzi ili hali mwenzio ana hoja..


Nani asiyejua kuwa simu za TECNO ni mbovu?
---nakupa FACT ukitaka kujua simu hizi za tecno ni HOVYO narudia HOVYO KABISA nenda "Customer care yao pale kariakoo opposite na msimbazi police ghorofa la kijani" angalia idadi ya wateja walio rudisha simu kwa matatizo mbalimbali, tena simu hizo zipo ndani warrant na wakikutengenezea baada ya siku kadhaa tatizo linajirudia"?

afu wewe unakuja na maneno ya shombo kumkatisha tamaa mwenzio?

~ukiona post haikuhusu piga kimya~
Mkuu wingi wa watu huko tecno siyo kigezo sana keasababu tecno wanauza sana tanzania kwa mahesabu ya haraka ni zaidi ya simu laki 1 tanzania mzima kila siku hununuliwa na wateja
Hii ni Idadi kubwa sana
Wengine wanamissuse n. K
Nakiri tecno zina Shida but not to that extent mmeexagreat sana
 
wewe ndio hujui matumizi ya simu za Techno mbona sisi tunazitumia vizuri tu? kama kuna program ambazo huwezi zitumia uliza ujibiwe.
Mkuu usipinge kila jambo mimi nimetumia simu za models tofauti za tecno kwa sababu tu urahisi wa bei, lakini sasa nimenyoosha mikono zina matatizo mengi tecno ukiona mara ukiingia fb inazima, mara not responding mara no space ujue muda wake ndio umeisha.
 
Mimi natumia ka- Halotel kangu 8501 sijawahi kujuta. Karibuni.
Mkuu Halotel ni copy and paste ya tecno,wanachangamoto zile zile.Kitu kizuri kwao ni kimoja tuu ata ukiwa umefulia unaweza pata smart phone kwa bei rahisi ukajumuika na wenzako kwenye mitandao ya kijamii.
 
Wanawaletea simu kulngana na hela zenu. Mjiongeze mnunue smu za maaana. Acheni kulialia.
 
Amino usiamini tecno wanasimu bora kuliko Samsung na apple...watu wenye simu za Samsung na apple wanaona aibu kusema matatizo ya simu zao kwasababu wamezinunua kwa bei kubwa.simu za makampuni makubwa ni pasua vichwa sana.
Ni kweli mkuu. Ninatumia tecno hii ni shida mtupu. Ila kuna Sony experia niliinunua kwa madiba kama 420000 ila mpaka sasa imeni cost 100000 kwa ajili ya screen tu.
 
Back
Top Bottom