Mtu akifa, roho yake huenda wapi?

Uvivu wa kufikiri huu
Kama mnakokwenda ni utashi wenu basi kufikiri kuna maana.
Lakini kama hamna budi kwenda mtakapopelekwa basi kufikiri ndio ujinga, Ujuha, Upumbavu na ukichaaa!!
 
Kama mnakokwenda ni utashi wenu basi kufikiri kuna maana.
Lakini kama hamna budi kwenda mtakapopelekwa basi kufikiri ndio ujinga, Ujuha, Upumbavu na ukichaaa!!
Cjakuelewa hata umeandika nn embu rudia kuandika
 
Kwanza roho nini tuanzie hapo

Ni maada?
Na kama sio kwanini?

Imeundwa na nini?

Inafanyaje kazi?Kwa mchakato upi?

Je ina tungamo?
Ina ukubwa kiasi gani?

Je kama ni "Elementary particle"[Chembechembe ndogo zaidi]

Je ina charge?
Ina spin?

Tusije tukawa tunajadili kitu tusichokijua,
 
Wasaalam wanajamvi,
sina maana ya kutaka kuchimbua imani za watu na nisingependa hata katika majadiliano watu waanze kukashifu dini za wengine.....
wengi wetu tunaamni kua mwili, nafsi na roho n vitu tofauti....
mtu akifa inakua na maana kua mwili umejitenga na roho...je roho hii iliyojitenga na mwili hua inaenda wap?
Ukishakufa ndio mwisho wa kila kitu. Hakuna mchakato mwingine tena hapo!!!!!! Ngoja siku ukifa, najua utaniamini mimi!!!!!
 
Mkuu hivi unapowasha gari yako,kisha ukaizima,ule muungurumo na kuwaka ile gari,huwa unaenda wapi?
Muungurumo ni sauti!

Na sauti hutokea pale ambapo molekyuli zinazounda Hewa zitakaposumbuliwa[Distorted] kwa namna yoyote

Na sauti itaendelea kusikika kama hizo molekyuli zitakapoendelea kusumbuliwa

Unapozima Gari,unaacha kuitibua Hewa na baada ya Molekyuli kurudi katika hali yake ya msawazo sauti huacha kusikika
 
Hio Roho ni nini hasa?

Mjadala uanzie hapo


nmejarib kupitia masomo mbali mbali.....ambayo yameelezeka roho kama nguvu ambayo inamuunganisha Mungu na binadam....kwa ambao wanaamini uwepo wa MUngu huamini kua kuna roho......kuna ulimwengu wa roho....na jarida moja likajarib kufananasha roho na umeme au betr katika redio....kwamba redio inaeza ikawa nzima ila isipokua na power(betri au umeme ) haiwez kutoa sauti...,

swali lang likawa je kama tunaambiwa kuna jehanam na mbingu...je mtu akifa roho yake inaenda wap wakat ikisubiri hukumu ya mwisho kama ambavyo vtabu vtakatifu vnatuaminisha?
 
Nafsi hua inabaki ndio maana tunasikiaga mizimu ya babu sijui ya bibi hizo ni roho zao zina savaiv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom