Recent content by Karina

  1. Karina

    Kwanini kila ndoa inayovunjika lawama anatupiwa mwanamke!!!!!

    tunayatoa nje walau kupata unafuu ndugu yangu sema sasa wamama wengine wakisha choka sana huwa tunachanganyikiwa na wakishachanga nyikiwa hawajui waanzie wapi ndipo huanza kumweleza kila mtu tatizo lake
  2. Karina

    Kwanini kila ndoa inayovunjika lawama anatupiwa mwanamke!!!!!

    Jamani wana MMU kuna ndoa zomevunjika nimezishuhudia zaidi ya 3 na zote ukizisikiliza kesi zao nimwanaume kutokuwa mwaminifu yaani kuwa na nyumba ndogo au kutoka na wanawake tofauti tofauti nje ya ndoa lakini cha kushangaza jamii inawahukumu hao wanawake walioachwa kuwa wameshindwa kuipalilia...
  3. Karina

    Mwanamke na kufika kileleni

    nenda website ya Dinahicious-Sex,Relationships&Love utapata kila kitu tena kwa undani na nyingine nyingi tu
  4. Karina

    Talaka naombeni ufafanuzi pls

    Jamani hivi ingekuwa vip kama wanaweke nao wangepewa uwezo wa kutoa talaka kwa waume zao? cos unakuta mwanaume anamyanyasa sana mke wake na kila akiomba talaka yake hapewi wakati yeye mwanaume anajivinjari na wanawake wengine nje mwanamke hata msg ikikutwa tu kwenye simu ni balaa maana kipigo...
  5. Karina

    Naomba ushauri

    Mapenzi ni kitu cha ajabu sana unaweza kumsaidia huyo mama kila kitu den siku ya kesi akakugeuka na kusema wewe ndo ulimshawishi kufanya hivyo ila bado mume wake anampenda sana utatatamani ardhi ipasuke uingie maana huyo baba kibano kitakugeukia. unaweza kumpa tu ushauri afanye mwenyewe au...
  6. Karina

    Niseme mwanzo?

    huo ushauri wa kibailogia si uutoe hadahrani na sisi wengine tufaidike usiwe mbinafsi au hujiamini na huo ushauri wako weka mambo hadharani wanajamvini tuone kama ni kweli na yale tusoyajua tuyajue
  7. Karina

    Niseme mwanzo?

    Pole sana dada japo hujafafanua vizuri wewe umesema unamatatizo ya kimaumbile halafu hufiki kileleni. Tatizo lako la kimaumbile ni lipi? pengine sio tatizo cos wewe umeshaliwaza na kuconclude kuwa ni tatizo ndo maana unaona hivyo. Wanyaruanda wanavuta nini?? pia unauliza hujachelewa kuvuta...
  8. Karina

    Hahahah nimeona hii mahali nimeipenda wewe uko wapi??

    tukifananisha makampuni ya cmu na mademu,airtel ni sista du anayependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazo,vodacom mchumba wa kuoa kabisa,zantel jimama la kulea vitoto,ttcl kibibi kinacho lazimisha ujana,tigo changudoa asiyejali maslahi na asiye na bei.JE WEWE NI KAMPUNI GANI?
  9. Karina

    Msiwaonee wababa...

    haha haha haha kweli nimeipenda hiyoooooooooo
  10. Karina

    Mikataba mibovu mpaka kwenye ndoa

    Mi nafikiri kile kipengele cha mpaka kifo kitakavyotutenganisha (???) Kiangaliwe kwa jicho la tatu maana upande mmoja naona kama unaumizwa!!!!!! Uzuri wa mkataba na wote mfaidike nao ni kila mmoja kutokukiuka makubaliano. NIKUPENDE:israel: NIKUTUNZE:israel: KATIKA TABU NA RAHA:israel:
  11. Karina

    Wanawake wengi tumebadilika kitabia kutokana na tabia za waume zetu

    JF sasa hivi haina tofauti na bunge la TZ cos kule mada ikiletwa tu na upinzani hata kama inamantik utaona inapingwa na wenzao cos tu imetoka upinzani
  12. Karina

    Wanawake wengi tumebadilika kitabia kutokana na tabia za waume zetu

    Mbona mnangangania tu kwenye pombe na kutoka nje ya ndoa????? mimi hivyo nimevitoa tu as an exmple jamani mada inasema tunaishi sivyo tulivyokuwa tunaishi haujalishi ni gubu, pembe, kujirusha whatever ilimradi kuna mtu behind kabadili life stail yako. sasa mi nashangaa kila mtu anakomalia pombe...
  13. Karina

    Wanawake wengi tumebadilika kitabia kutokana na tabia za waume zetu

    Thanks sana shantel kwa uelewa wako wa hali ya juu Keep it up maana watu wengine wanakurupuka tu bila kujua huyu aliyeandika anasemaje au anamaanisha nini
  14. Karina

    Wanawake wengi tumebadilika kitabia kutokana na tabia za waume zetu

    Chauro you are right my dear yaani watu hawajanielewa kabisa yaani mtu unaishi tofauti na ulivyozoea cos of HUBBY.
Back
Top Bottom