Talaka naombeni ufafanuzi pls | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Talaka naombeni ufafanuzi pls

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Karina, Aug 10, 2011.

 1. Karina

  Karina Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani hivi ingekuwa vip kama wanaweke nao wangepewa uwezo wa kutoa talaka kwa waume zao? cos unakuta mwanaume anamyanyasa sana mke wake na kila akiomba talaka yake hapewi wakati yeye mwanaume anajivinjari na wanawake wengine nje mwanamke hata msg ikikutwa tu kwenye simu ni balaa maana kipigo chake ni cha mbwa mwitu. Sasa mi huwa na jiuliza talaka hutaki kutoa, matumizi ndani hutoi kila kukicha wewe unabadilisha wanawake huku ni kumkomoa mwanamke au ni ubinafsi?????
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Hata mwanamke anaweza ku file petition ya dissolution of marriage.
   
Loading...