Mikataba mibovu mpaka kwenye ndoa

Karina

Member
Jun 17, 2011
51
16
Mi nafikiri kile kipengele cha mpaka kifo kitakavyotutenganisha (???) Kiangaliwe kwa jicho la tatu
maana upande mmoja naona kama unaumizwa!!!!!! Uzuri wa mkataba na wote mfaidike nao ni kila mmoja kutokukiuka makubaliano.

  • NIKUPENDE:israel:
  • NIKUTUNZE:israel:
  • KATIKA TABU NA RAHA:israel:
 
You know what? Mazingira huwa ni chanzo kikubwa kwa wahusika kusaini mikataba bila ya kufahamu ama kuelewa vyema vifungu vyote vya mkataba pamoja na madhara yake, regardless mkataba una faida kias igani. Wakati umefika sasa, hata kama dini ya kikristo inaonyesha kifo ndiyo kitu pekee cha kuvunja mkataba, bado watu wanaweza kufunga ndoa mahala pengine ambako kipengele hiki no option mfano wilayani. Hapo watu watakuwa free kuachana na kuendelea na maisha mengine pale watakapotambua kuwa walifanya makosa kwenye kuchaguana!
 
kwanini utangulize kuonyesha kushindwa??shida sisi wenyewe tunangia kwenye ndoa kwa pupa hatuangalii ni yupi anayefaa na pia tunafuata tamaa za miili yetu Mke na mme mnastahili mfurahie ndoa yenu milele mtangulize Mungu wakati wa kuchagua mwenza wako na utafurahia maisha ya ndoa milele
 
Pole Karina, hicho kipengele unachosema kinatumika ktk sheria za kanisa pekee. Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 inaruhusu talaka na ikumbukwe sheria za kanisa zipi chini ya sheria za nchi hivo bado unaweza kudai talaka au kutengana. Mapdari au wachungaji hao hao wanajua maisha yamebadilika kwa sasa na hata ukisoma maandiko hayasemi yanasema mtu atamwacha babae na ***** na kuungana na mwenzake nao watakuwakitu kimoja, sasa kwa wakati ule ni tofauti na sasa.Ipo haja na nakuunga mkono wa sheria hizi kubadilika
 
Africa sana pale (kona baa), Buguruni, mitaa ya site senta kwa wale mlioko Dar panafaa kumpata mme/mke ambaye haiitaji mkataba au unasemaje? Karina, na hii inaweza saidia kila mmoja wenu kukaa chonjooo!!!!!!!!!!! au??????????????????????????????
 
Back
Top Bottom