Niseme mwanzo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Niseme mwanzo?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jestina, Jul 26, 2011.

 1. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  jamani nahisi nilizaliwa nina matatizo ya kimaumbile,sifiki kileleni -inorgasmic. in the past nishawahi kuwa na mahusiano ila baada ya kugundua hali yangu tukaachana,najiuliza niseme kama nina tatizo hili pale tu napokutana na mwenza??? hataniacha??.........naskia wanyarwanda wanazivuta zao zinakuwa kubwa is it too late kufanya hii procedure now mie ni mtu mzima? kuna wanaume wako tayari na wanafurahia kuwa na mwanamke ambaye hafiki kileleni?????

  asanteni......
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  What do they care...ili mradi yeye afike!
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  I will be right back,............
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Unajidanganya, sio kwamba hufiki kileleni, hujafikishwa.
   
 5. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  A friend of mine tried ViaGrow and recommended it to me 3 weeks ago. I ordered the products and received them within 5 days. The results have been incredible and I can't wait to see what months 2 and 3 bring.
   
 6. Karina

  Karina Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana dada japo hujafafanua vizuri wewe umesema unamatatizo ya kimaumbile halafu hufiki kileleni. Tatizo lako la kimaumbile ni lipi? pengine sio tatizo cos wewe umeshaliwaza na kuconclude kuwa ni tatizo ndo maana unaona hivyo. Wanyaruanda wanavuta nini?? pia unauliza hujachelewa kuvuta?? labda niwasubiri wenzangu wanaojua kunyambua mambo
   
 7. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Hueleweki...unasema hufiki kileleni ambalo ni tatizo la ki'fiziolojia' na/au ki'saikolojia' lakini unaelezea kuhusu sijui kuvuta maumbile which sounds more anatomical! Kama una tatizo la kimaumbile (anatomical) labda ulikeketwa na unatamani kuwa na maumbile sawa na wenzako ukiamini ndio utatuzi wa wewe kufika kileleni, nakushauri kamuone daktari wa wanawake akuchunguze kama kweli kuna tatizo la kimaumbile litakaloingiliana na uwezo wako wa kupata 'mshindo', kama sivyo...basi tatizo lako litakuwa la kifiziolojia na/au kisaikolojia ambayo utatuzi wake upo ukapata nawe starehe stahiki!
   
 8. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama ulikuwa mawazoni mwangu na mimi nilitaka kumswalika hayohayo...penye nyekundu tafadhali dada jestina..
   
 9. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ilo sio tatizo, tatizo ni hao unaokutana nao wanajifikilia wao tu ndio maana humalizi, inabidi uwe muwazi kwa mtu wako kwa kumuambia kuwa hakufikishi bila shaka atafanya jitihada zaidi upate kuukojoa maana hata wanaume huwa tunajisikia vibaya sana kutomfikisha mtu wako.
   
 10. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ni tatizo la kimaumbile nimeconclude baada ya kuwa na wanaume kama wanne hivi,bila kufikishwa kileleni.....
  na wanyarwanda nimesikia tu wanavuta zile sehemu unazofanya ufike kileleni mpaka zinakuwa kubwa hivyo kufika haraka,so katika desperation yangu ndio nahisi labda nikifanya hivyo nitafanikiwa ila sijajua wanavuta wakiwa wadogo au hata utu uzimani zitakuwa kubwa nilitaka kujua???
  tatizo langu sio la kisaikolojia-sijawahi kubakwa mie na huwa naandaliwa vyema kabla ya tendo sema ndio utanisugua weeeee bila kuniona nafikia mshindo.......
   
 11. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nahisi nina sehemu ndogo sana inayonifanya nifikie mshindo hivyo mara nyingi nikikutana na wanaume wanaimiss hii sehemu kwa udogo wake! wakati wanathrush ndio maana nikaconclude ni tatizo la kimaumbile
   
 12. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Umejuaje kama ni wewe ndo mwenye tatizo na kwamba si hao boyfriends wako walikuwa hawajui namna ya kukufikisha? Sidhani kama kweli ukipata mtaalamu mzuri utashindwa kufika. Ni Pm nikupe ushauri wa kibiolojia.
   
 13. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  si uachane na hayo mambo ujue sio lazima kwani utakufa au utapoteza nini? kama kitu hakina maslai achana nacho mwaya
   
 14. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Pole sana dada ningekuwa sijaoa ningekupa miahadi wap 2onane ningekuonesha unafika vp kileleni na naimani ungejiona huna tatizo utapata dada kale kamchezo kanaitaji utundu sana na elimu mbadala
   
 15. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Ni PM unipe namba ya simu yako nitakusikiliza, mambo mengine si ya kupitisha hapa utapata majibu mengi yatakuchanganya. Tupo wajuzi wengi humu jf!
   
 16. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  bebii upweke nao si kitu cha rahisi,i wish ningepata mwanaume tuwe marafiki tu bila kuwa na sex...ila kwa zama hizi kumpata mwanaume wa hivyo ni ndoto kwa kweli...
   
 17. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Na kama hii ni personal experience yako pole kwa kufanya wrong choice.
   
 18. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #18
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Mhhh! Lizzy hii siyo kweli kabisa!
   
 19. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  tafadhali mulama kama una majibu ya matatizo yangu weka hapa,huwezi jua utakuwa umesaidia wangapi wanaokufa na tai zao shingoni
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hata mimi nimetafuta wa aina iyo tusisex hadi humu jf sijapata yaani nao wamekomalia iyo kitu acha tu nabaki na upweke wangu shost
   
Loading...