Shantel
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 2,018
- 1,129
Sasa ufanyeje na ushatafuta njia ya kusuluhisha hupati, atleast ukienda shopping na kujichanganya kupata ulabu na rafiki zako itakuondolea msongo wa mawazo kuliko kukaa ndani na kulia peke yako, hivi unajua VOR kuna wanaume hawajali kabisa kama unaumia au la, maadam keshaamua lake baas, kuna dada namjua anaweza kaa miezi sita bila tendo la ndoa, na akiomba mwanaume anakuwamkali kama mbogo, anaweza asafiri siku inayofata ndio anapiga simu niko mahali fulani, sasa unafikiri akiamua kujichanganya na kuhave fun jamii itamshangaa na huyu,au asubirie ndani kufa na presha na madepressionMhh sidhani kama happiness inatafutwa hivyo..., na Mwisho wa Siku utajikuta karaha inazidi..