Recent content by karim jr

  1. karim jr

    JamiiForums Tanzania Huduma ya HaloYako kutoka Halotel

    Salaam wakuu, Tafadhali naomba niulize kama miongoni humu kuna watu waliowahi kutumia huduma ya Haloyako kutoka Halotel. Huduma hii inahusisha kutunza pesa na kupokea riba kidogo, kutoka haloyako. Naomba kujua kama kuna wadau wameweza kutunza na kupokea pesa zao bila matatizo. Naomba uzoefu...
  2. karim jr

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Platinum Credit Limited

    Tunahitahi maafisa mikopo Sales Representatives kwa Zanzibar Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0768218042
  3. karim jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UTAFITI: Wanaume hubadili mashuka siku 18 baada ya SEX huku wanawake huwachukua siku 2 tu!

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  4. karim jr

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Asante sana ndugu, ila ukweli niliwahi kuugua vidonda vya tumbo. Baada ya kumaliza dozi nikawa vzr kabisa yale maumivu ya chini ya kifua saiv hayapo. Ila hii hali ya mchanganyiko wa damu inaweza kusababishwa na nini?
  5. karim jr

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta mganga mashuhuri wa jadi

    Ivi jamani kwani imani za dini afrika zimeingia miaka gani? Halafu ivi wale wazee wetu kabla ya mapokeo ya hizi dini tulizonazo hivi sasa watahukumiwa kwa misingi ya imani gani? M nadhani imani zetu za kiasili zipo, waache watu wafanye uafrika wao [emoji23]
  6. karim jr

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Tatizo langu ni kupata choo kilichochanganyika na damu, halafu pia njia nayo inakua inauma. Hali hii inanipo uwoga sana.
  7. karim jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What Games are you playing right now?

    Tetris
  8. karim jr

    JamiiForums Tanzania Uzi wa vyakula tu

    Mmh izo pic nyingine wadau mmenda kudownload[emoji23]
  9. karim jr

    JamiiForums Tanzania Ipi ni kombi nzuri ya kusoma A-level kati ya hizi?

    Asome HGE
  10. karim jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inaumiza !! Bado nahitaji kuishi na kufurahi

    Ndugu mtoa mada. Naelewa hali yako kwasasa ila take a time. Achana na mambo ya kuwazia fadhila ulizomfanyia utazidi kuumia. Jipe muda kufanya mambo mengine kabisa because time heals everything, fikiria ndugu zako, wazazi wako then hamishia kila kitu huko. Wakiwa na furaha na ww itakupa amani...
  11. karim jr

    JamiiForums Tanzania Kupata zawadi Diamond Karanga

    Nimeshinda Carton ya Diamond karanga. Nataka kujua nitapata vipi zawadi yangu?
  12. karim jr

    JamiiForums Tanzania Kupata zawadi Diamond Karanga

    Wadau nawasalimu, Leo nimenunua Diamond Karanga na nimejikuta nimeshinda Carton ya Diamond Karanga. Naomba mnijuze nitawezaje kupata zawadi yangu. Mwisho kabisa nawatakia kila la heri kwa mwaka mpya 2018.
  13. karim jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Share nasi: Ulijisikiaje siku mpenzi wako unayempenda aliposema mimi na wewe basi?

    Niliumia sana nikajikuta naanza kuvuta sigara.
  14. karim jr

    JamiiForums Tanzania Topic gani ulisoma na haujui utaitumiaje hadi leo?

    Hesabu za LCM
Back
Top Bottom