Msaada natafuta mganga mashuhuri wa jadi

Msaada natafuta mganga mashuhuri wa jadi

nani kahubiri zaidi ya kumpa option nyingine, afu achague mwenyewe.

unaweza ukawa unahitaji kitu fulani lakini mwingine akaja akakwambia hiki mi bora zaidi na ukatumia utashi wako kulinganisha na kufanya uchaguzi.
Kasema mapambio hataki na wala Habari za mahubiri, YANI hata Sijui darasani mlikuwa unaelewa vip, Asee ukipata mganga safi Niambie na mie, hio ndo asili yetu.
 
Kasema mapambio hataki na wala Habari za mahubiri, YANI hata Sijui darasani mlikuwa unaelewa vip, Asee ukipata mganga safi Niambie na mie, hio ndo asili yetu.
pole yako.
 
Wewe ndo unahitaji pole kwa kweli, Baada ya kuwa brainwashed.
Katika experience zangu watu wanaojifanya kumjua yesu kwa sana au balokole. Ni watu walikuwa waovu hatare au ni waovu hivo hutumia hilo jina kuficha yao.
.
sawa.
 
Mtupe mrejesho bas mlifikia wapi na kama ulifanikiwa..
 
Mkuu vip ulipata kushughulikiwa swala lako, tupe mrejesho
 
Si ajabu hawa wanaoponda ndo watalaam wa kwenda huko wanakokupinga
 
Ninampenda kwa sababu ninajua kuwa yeye ni mwanadamu mwenzangu , ila kama yeye sio mwanadamu atajua mwenyewe! Hata wewe ninakupenda.

Na ni lazima tuambiane hizi kweli za rohoni ili mtu apotee akiwa ameshaambiwa, asije jitetea kuwa hakuambiwa!
Tatzo waafrika wanajfanyaga kuijua Roma zaid ya waroma wnyewe
 
Husika na kichwa cha habari.,
Mimi ndugu yenu nina matatizo ambayo hayahusiani na hospital (siumwi) ila ni masuala binafsi ya biashara zangu hivyo naomba anayejua mganga anayeweza kuninyooshea mambo fasta anipe maelekezo kwa Pm ntashukuru sana.!
Kama mjuavyo kumekuwa na matangazo mengi kwenye nguzo za umeme kuhusu waganga lakini kwa utafiti mdogo nilioufanya nimegundua hao wengi huwa matapeli tu ila mganga original huwa hajitangazi.
Natumaini haya ni mambo ya kiimani zaidi na humu jukwaani lazima kuna wadau tupeane "mchongo"
Pia niwaombe radhi wale ambao wataingiza habari za dini humu kwani kama dini kila mtu ana dini yake na imani yake na ana uhuru wa kuabudu anachokiamini.!
Hivyo ukiona mada iko tofauti na imani yako pita kimya.!
Ntashukuru kwa mtakaojitahidi kunisaidia walau "direction"
Uko tayari kwenda kahama??pm
 
Ivi jamani kwani imani za dini afrika zimeingia miaka gani?
Halafu ivi wale wazee wetu kabla ya mapokeo ya hizi dini tulizonazo hivi sasa watahukumiwa kwa misingi ya imani gani?
M nadhani imani zetu za kiasili zipo, waache watu wafanye uafrika wao
 
Back
Top Bottom