Recent content by KaribuNdani

  1. K

    Juma nature na wanaume halisi wawafunika wanaume family

    Hilo tunguli linaloga watu wote? jamaa mkali tu.
  2. K

    Ufalme wa juma nature tmk si wa kubahatisha

    Nature ni staa wa watu wote hambagui mtu nadhani ndo maana anapendwa sana
  3. K

    Kijiji cha misukule feki chafichuliwa Bagamoyo, wachungaji feki wadaiwa kuwatumia kuwahadaa waumini

    Zamani mazingaombwe tulikuwa tunafanyiwa shuleni...eti siku hizi yanafanyika makanisani..duh
  4. K

    Ufalme wa juma nature tmk si wa kubahatisha

    Juma Nature last weekend alitawazwa kuwa mfalme wa Temeke akiwa na kundi lake la Wanaume Halisi. Juma kwa kipindi kirefu amekuwa kipenzi cha wana TMK na wanaburudani kwa ujumla. Chochote afanyacho Juma kina utamu ndani yake but hali hii haijaja kwa bahati mbaya. Sir Nature alitengeza...
  5. K

    LADY JAY DEE vitani na CLOUDS FM

    Bob Marley aliwahi kusema "You can fool some people for some times but you can't fool all people all the time".. Jay Dee alikuwa fooled for sometimes na sasa amezinduka. naamini wengi watazinduka kama yeye
  6. K

    Waganga 12 wajitokeza kupambana na "jini mahaba" linalomsumbua lady jaydee

    Habari za Jay Dee mwachieni Jay Dee mwenyewe. Yote hayo maigizo, reality show ina script? Na kama ana matatizo ndo atumie vyombo vya habari kutibiwa? Naona wengine wameanza kuingiza na ukanisa na uganga. hapo ndipo napochoka kwani kila siku makanisa yanagombea wagonjwa na ikitokea ukachagua...
  7. K

    Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

    Hii ishu ya Lwakatare, inaidhalilisha Tanzania hasa vyombo vyetu vya Usalama. Kweli inabidi serikali yetu iingizwe kwenye maajabu ya dunia
  8. K

    Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

    Can somebody tell me what's going on in Tz. Why on earth these guys play with our mind? Now its the Video, couple of weeks ago was the torturing of Absolum. I wonder who's next and what they will come up with as an excuse or as a diversion point. Shame on us watanzania for letting the drama...
  9. K

    Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

    This link is very useful..asante kwa kushare
  10. K

    Lwakatare Video: Metadata Information Can Easily Reveal Secret

    I had no idea of Metadata..but good thing there's always some people out there who know things..Thank you for sharing this with us
  11. K

    Uboho ni neno la kiswahili sahihi au ni tusi?

    Tatizo wabongo huwa tunapenda kuhusianisha maneno na matendo ya ngono au via vya uzazi. Ndo maana hili neno linaleta ukakasi masikioni mwetu. Neno sahihi kabisa isipokuwa tu halijapata mashiko
  12. K

    Uboho ni neno la kiswahili sahihi au ni tusi?

    Uboho sio tusi ni kiswahili fasaha. Neno lake la kiingereza ni bone marrow
Back
Top Bottom