Uboho ni neno la kiswahili sahihi au ni tusi?

[ By Nyani Ngabu
Uboho ni neno la Kiswahili na si tusi.

Hata nyoko ni neno la Kiswahili na si tusi.

kwanza nyoko si neno rasmi la kiswahili bali ni neno la kibantu likiwa na maana ya mama yako=mamaako

Na Kiswahili ni mseto wa lugha kadhaa....

Kwa Kisukuma mama ni 'noko'....kwa hiyo uko sawa kabisa.
 
Oyaaaaaaaaa acheni kutania koo za watu humu! Mboro ni ukoo wa jamii fulani huku uchagani. Maana yake ni risasi. So sio tusi. Uboho =bone marrow as have been said here. Labda tungsema uboo tungenyumbulisha hapo.
uboo vile vile sio tusi. ni kiungo cha mwili kama vile mkono au sikio!
 
ukitoka moshi mjini na kuelekea kibosho kirima kuna kituo kinaitwa eti NJIA YA MBORO,.khaaaa kiswahili jamani
 
Huku kwetu kuna kituo cha daladala kinaitwa Kiboho Chako.Pia kuna mtu anaitwa mzee Wilson Uboho ni balozi wetu.
 
Kwa ss wambulu 1000 inaitwa ---- na 3 ni tamu kwa hiyo elfu tatu ni ---- tamu
 
Na Kiswahili ni mseto wa lugha kadhaa....

Kwa Kisukuma mama ni 'noko'....kwa hiyo uko sawa kabisa.

Mseto kwa maana kama Kiingereza ni mvhanganyiko wa Anglo-Saxon, Kifaransa, Kilatini, Kigiriki? Nadhani ni dhana potofu. Kiswahili si mseto wa lugha. Historia yake inajidhihirisha kuwa ni lugha ya Kibantu na kama lugha zote duniani imechukua maneno kutoka lugha mbalimbali.
 
Naomba kufahamu kama hili ni neno sahihi na sanifu lakiswahili ama ni tusi na lina athari gani kutamkwa?Watu wengi wamekuwa wakisema hili neno si zuri kulitamka mbele za watu.Nawakilisha.
Ni neno la Kiswahili tu kama Libolo ilivyo huko Angola.......lolest!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom