Uboho ni neno la kiswahili sahihi au ni tusi?

Tatizo wabongo huwa tunapenda kuhusianisha maneno na matendo ya ngono au via vya uzazi. Ndo maana hili neno linaleta ukakasi masikioni mwetu. Neno sahihi kabisa isipokuwa tu halijapata mashiko
 
[ By Nyani Ngabu
Uboho ni neno la Kiswahili na si tusi.

Hata nyoko ni neno la Kiswahili na si tusi.

kwanza nyoko si neno rasmi la kiswahili bali ni neno la kibantu likiwa na maana ya mama yako=mamaako

Kiswahili wadau haikuwa lugha ya asili ya EA coast, bali ilikuja kutengenezwa kwa lugha za asili, kiarabu na kibantu.Pilika zangu za maisha niliwahi kuishi na wazimbabwe humu humu duniani, lashseshe siku moja tipo kazini tunaagana na mswahili mwezangu anisidikize kwa kinyozi kukata "nywele", alinikatalia kuwa "mgongo" umamuuma....yule mama wa kizimnabwe alishangaa na akafadhaika sana....niliduwaa nikaenda kumuuliza akaniambia kwao "nywele....unamaanisha mavuzi" na "mgongo kwao ni sehemu ya juu ya uke"sasa alikuwa anashangaa tupo midume miwili tunaongelea kitu gani.....tulijuzana mengi km mtu/binadamu kwao ni "mzimu" na mpenzi kwao ni "mbhavu" ss unaona inafanana na "ubavu wangu ya kwetu"huu ndo utamu wa kibantu.....so siku njema "mbhavu zangu"!....teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom