Recent content by karatu boy

  1. K

    Kiasi cha Mishahara ngazi mbalimbali TRA

    Wameshaita, personally nimepokea email yao jumamosi kunialika kwenye written interview tar 12 diamond jubilee.
  2. K

    Today in History 30 Oct 1978

    mkuu kitabu chako kuhusu vita ya kagera vipi??
  3. K

    Diamond Platnumz Kufikishwa Mahakamani

    maisha marefu kwa mwalimu wako wa kiengereza...andika kiswahili utaeleweka
  4. K

    ACT-Tanzania yafanya kikao chake cha halmashauri kuu cha kwanza Singida na kutoa onyo kwa UKAWA

    Kitila na wenzake wanywe maji mengi kabla ya kulala, itawasaidia kutoota ndoto za kipuuzi.
  5. K

    Lowassa akataa waandishi wa Uhuru na Mzalendo; Kinana aangiza ashughulikiwe

    Sasa mkutano wa KKKT Lowassa anapata wapi jurisdiction ya kuwakataa waandishi. Ungeamua kufikiria kidogo usingepost hii mada. CDM mnahangaika eeh
  6. K

    UKAWA kutoingia bungeni-siri yafichuka

    Hii taarifa mke wako alichukua saluni, we unaileta kama thread
  7. K

    Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

    Kweli rich amepotea sana. Nakumbuka alijiunga CDM bt hasikiki kabisa. Nakumbuka siku aliyomtoa jasho kawambwa
  8. K

    Kwa waliopita UDSM- Mlimani Campus

    mkuu sokwe hakufukuzwa. Mkenda na ado shaibu wamerudishwa. Mkenda nimemaliza nae mwaka huu. Kama una mawasiliano na evaristo silayo naomba nipm
  9. K

    Udsm booom!!

    mtakula mlipopeleka kura(vifungu) mngemchagua mboya
  10. K

    Ndege ya Malaysia Ilitekwa na Marekani Kuzuia Wizi wa Teknolojia ya Marekani

    mkuu hii stori nilipewa jana na Lecturer wangu...lecture ya jion. Nilishindwa kuamini na mpaka sasa siamini. Nilimfuata nje nimwulize too bad nilkuta moshi wa prado.
  11. K

    Jide anazidi kukata mzizi wa Fitna-Cloudz Media

    mkuu mbona hii ni ile ile ya mwaka jana....au ndo umenunua smartphone recently
  12. K

    "Hata asipooteshwa tutamchukulia fomu.Anapaswa aambiwe tu maana watanzania wana matumaini naye"..

    ukiitwa mfitini na mmbea utalalamika?,?. hutoi source ni blah blah...
  13. K

    Aliyeshinda kura za maoni CHADEMA Kalenga awekwa kiporo, Grace Tendega kupambana na CCM

    Sasa kwa nini waliwasumbua watu kupiga kura za maoni kama kamati ndio ina discretionary power. Inabidi tupate resume ya huyu mama probably kuna uchaga kwa mbali.
Back
Top Bottom