Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Nitawaongoza kwa utumishi uliotukuka na uadilifu ili tupate Katiba bora, yenye viwango na kwa wakati. Nina hulka ya kuwapenda wale ninaowaongoza, kwa hiyo nitakuwa mtetezi wa shughuli mbalimbali
Ninawaahidi Watanzania kutenda haki na kuwapatia Katiba yenye viwango na kwa wakati-Samuel Sitta akizungumza na wajumbe waliomchagua kuliongoza Bunge Maalumu la katiba.