Mkuu SUMATRA kunashida. Kwa mtazamo wangu wakati mwingine huwa nahisi kuwa hawana wataalamu wa kutosha wenye weledi wa masuala ya shipping in general. Au wanafanya hivyo kwa makusudi baada ya kupata 10%.
Sheria zipo lakini hazifuatwi kabisa.
Maelezo uliyoyatoa yamebainishwa wazi kabisa kwenye...
Mkuu kwa nchi yetu haya mambo yanawezekana. Kumbuka watu walishazoe upigaji wa namna hiyo kwa hiyo walijua hawataagundulika. Kuna taasisi moja ya serikali (Chuo cha Bahari DSM) wanapokea michango kutoka makampuni ya meli, bandari pamoja na wadamu wengine wa masuala masuala ya bahari Kwa ajiili...
Kuna mwanafalsafa mmoja ndo anasema hivi. "If you want to get rich/ wealth without working on it at all, join African politics". Ndo maana unawaona akina Le Professeur Lipumba wanang'ang'ania kubaki huko.
Hahahahahaha.
wewe chizi kweli. Kuwa wanaotusumbua ni malaya na wachawi?? Hahahahahaa, Lakini wanajificha kanisani? Umenivunja mbavu mkuu Chibuga Mugeta Masami
Mbona kiongozi mkuu anatoa lugha ya matusi hamsemi? AU yeye ameishatoka kwenye level ya ubinadamu tayari ameishakuwa Mungu wa Watanzania hivyo hapaswi kusemwa anapotoa lugha yenye ukakasi? Huyu naye arekebishe matamushi yake. Hata wasio viongozi wana feelings na wanapozihakiwa wanaumia ndo maana...
Mabenki siyo wajinga kiasi hicho. Wala hakuna myumbo wowote utakao yapata mabenki haya. Kumbuka tokea mwaka 2009 mabenk yote yalianza kutumia sheria inayotaka wakopaji kulipa insurance fee. Kwa hiyo Underwriters watalipa risks zote na mikopo yote ya defaulter borrowers.
Asione progpaganda kwani ana elimu? si ndo wale v.i.l.a.z.a wa CMM. Ambao wanashangilia kila anachokifanya Caesar. Wakati Caesar sasa hivi yuko uchi lakini hawataki kumwambia afunike aibu yake.
Mkuu ulichosema ni kweli kabisa. Mfano mwingine ni Chuo cha Mabaharia, Mhasibu mkuu wa chuo hicho pamoja na mkuu wake hawapeleki michango ya wafanyakazi kwenye hii mifuko ya jamii kwa wakati. Pesa zinakatwa kutoka mishahara ya wafanyakazi, lakini mara nyingi hizi pesa huwa wanacheza nazo kwa...
Wewe Hivi unaamini kwenye conspiracy theory kuhusu Shetani? Hahahahahah
Tafuta Maarifa kwanza utajua kuwa hizo ni conspicy theories. Hakuna cha Shetani wala nini
You are too low minded moron. Hivi wewe kwenye mambo kama haya unaingiza siasa?? kichwa kinafanya kazi vizuri? Hivi mtu yeyote anayeongea mapungufu ya Magufuli wewe kwa mtazamo wako lazima awe wa upinzani au mfuasi wa Mbowe?
Mkuu usiamini kuwa na PhD ndo kuwa kuweza uongozi. Kumbuka huyu PhD ameipata akiwa Waziri. Kama unavyojua vyuo vyetu, ukishakuwa kiongozi ukaamua kujiendeleza, hata kama huna substance kichwani watakubeba tu, wakati mwingine kwa kutoa mpunga ili ufaulu. Huyu wa kipindi hiki hana hekima wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.