MH RAIS;MASHIRIKA YAUMAA YAKAGULIWE KAMA YANAPELEKA PESA NSSF/PPF

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Leo jionii nikiwa nakulaa nilipatwa choo cha gafla wakati naangalia ITV

Kivipi n pale nilipoona wafanyakaz wa gazeti la Uhuru la serikali wakitamka mbele ya Rais mishahara aijalipwa sihiloo tu NA PESA za NSSF AZIJALIPWA

aikuishià hapoo waliostaafu amakuacha miaka ya nyuma awajalipwa wengi pesazaoo

Kwahili la NSSF naomba niweke wazi MH Rais unamajukumu mengiyakufanya lakini hilii lamichango n sumu...

Mashirika yaumaa mengi ayalipi PESA za NSSF AMA ppf jaribu kufwatilia

Cha ajabu wanakata PESA kwenemshahara swalilanguu in he hizo PESA zinaenda wapii....

Niliwahifanyakazi kampuni moja wakati naondoka tukakutà miaka minne wengine sits awajawekewa PESA NSSF zao NA waliweka wakati walipotumiwà barua ya mahakama kutaka walipe...NA zililipwa ndani wiki mamiilion

M nashauriii vyema mkafwatilia sana hill kuondka laana za wafanyakazi imagine hiili n gazeti la serikali....

Nirudi kwa NSSF pale NSSF KUNA WATU wako special kwa ajili ya mashirika wao wakiamka wanajua wanadiili NA Jf no..sasa kama waaliodili nauhuru kwanini awakupeleka info kwabosi zao awajalipa.sheria ichukue mkondowake

Nakama wamemjulisha bosi kwann asishrakiwe NA kuondolewa kama amekaa kimya huku akijua wafanyakazi wa Uhuru awajalipiwa PESA za NSSF??wahuska wote wawe responsible.....

Polen NA kila la kheri
 
Mkuu ulichosema ni kweli kabisa. Mfano mwingine ni Chuo cha Mabaharia, Mhasibu mkuu wa chuo hicho pamoja na mkuu wake hawapeleki michango ya wafanyakazi kwenye hii mifuko ya jamii kwa wakati. Pesa zinakatwa kutoka mishahara ya wafanyakazi, lakini mara nyingi hizi pesa huwa wanacheza nazo kwa kuzifanyia biashara, kisha huzipeleka baada ya miezi kama sita au zaidi. Taasisi nyingi na Mashirika ya umma yamulikwe kwa michezo michafu hii ambayo viongozi wake wanayofanya kucheza na maisha ya watu.
 
Waandishi wa habari michango haiendi mifuko ya jamii wamekaa tu na hii habari?
 
Sas ukiongelea kutopeleka michango hata serikali pia imo.Trilioni 4 wanazodaiwa na PSPF na riba inazidi kuongezeka
 
Back
Top Bottom