Watu wa Kagera Wanahtaji Msaada Sio Porojo~JPM

spencer

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
3,599
Reaction score
3,226
Wanajamvi,
Kwa jinsi baadhi ya wanaomtakia mabaya JPM, naona wameanzisha nyuzi hasi humu.
Nimemsikiliza Rais katoa speech safi tu wala si kiviiiile wana mtandao walivoreport humu.

Amesema michango hii.inayotolewa itagawiwa pengine bati ishirini ama mifuko ya cement kumi. Lakini kasema tetemeko hili linaweza kutokea mahali popote anytime.

Wanasiasa wanatoa porojo tu bila hata kusaidia chochote.

JPM ni sauti ya kazi. Viva Magu
 
Tuungane jamani tuwe kitu kimoja tujenge tanzania yetu hii inchi ni yangu yako ya yule
 
Hilo.ndio suala.la msingi, mhe Rais kasema wamecentralise misaada yote ielekezwe through ofisi ya mkuu wa mkoa ambayo.inafanya kazi na waziri mkuu.
 
Mwenye kutoa porojo hapo ni nani?? Kama kiongozi wa nchi ambayo tumekumbwa na mambo mengi ya majanga, hivi kweli utasema hatuna kitengo cha maafa? Walikuwa wapi tangu tetemeko litokee hadi leo mnachangisha? Kitengo kilitoa nini?? Kinakaa wapi?? Hivi vitu tunavyo changishana ni nyongeza tu ya huduma ya kwanza kwa wafikwa. Serekali ilifanya nini sio kuuliza Mbowe kafanya nini. Yule sio kiongozi wa nchi.
Kama kiongozi wa nchi ndiye alitakiwa aamuru misaada iende kule na kuonesha mapenzi kwa watu wake agawe mahema ya kwanza akingojea team yake ije na vyombo.
Mliona tulipopata janga la MV Bukoba, mliona tulipopata janga la treni?? Jamani Tz sio free kwa majanga, tufikiri kuanzisha hiki kitengo cha maafa na tusijikongoje kwenda kwenye majanga. Janga halina itikadi. Msifanye kila kitu siasa. Mahindi yakitolewa na mh Mbowe hayamuathiri mwana CCM. Serekali itende mengi kwa wananchi 2020 upinzani watainua mikono juu. Hakuna tena wa kuhadaiwa na maneno (porojo) leo. Sitaki siasa za chuki hata kwa mfiwa.
 
Hivi ni misaada gani Mbowe alitoa alipoenda Kagera?

Huu sio.wakati kutengeza slogans, watoe walichonacho maisha yaendelee.

Aliyetetemeshwa analia na.wewe.mtoa msaada.ukianza kulialia hapo kuna kitakachoendelea?

Mwenye unafuu.choo kimehribika akitengeneze,
Mwenye boma.zima.limedondoka mifuko ishirini na bati atapewa.

Lakini huo ndio.ukweli serikali haiwezi jenga nyumba elfu hamsini at per
 
Wanajamvi,
Kwa jinsi baadhi ya wanaomtakia mabaya JPM, naona wameanzisha nyuzi hasi humu.
Nimemsikiliza Rais katoa speech safi tu wala si kiviiiile wana mtandao walivoreport humu.

Amesema michango hii.inayotolewa itagawiwa pengine bati ishirini ama mifuko ya cement kumi. Lakini kasema tetemeko hili linaweza kutokea mahali popote anytime.

Wanasiasa wanatoa porojo tu bila hata kusaidia chochote.

JPM ni sauti ya kazi. Viva Magu
AKILI HUNA
 
Mwenye kutoa porojo hapo ni nani?? Kama kiongozi wa nchi ambayo tumekumbwa na mambo mengi ya majanga, hivi kweli utasema hatuna kitengo cha maafa? Walikuwa wapi tangu tetemeko litokee hadi leo mnachangisha? Kitengo kilitoa nini?? Kinakaa wapi?? Hivi vitu tunavyo changishana ni nyongeza tu ya huduma ya kwanza kwa wafikwa. Serekali ilifanya nini sio kuuliza Mbowe kafanya nini. Yule sio kiongozi wa nchi.
Kama kiongozi wa nchi ndiye alitakiwa aamuru misaada iende kule na kuonesha mapenzi kwa watu wake agawe mahema ya kwanza akingojea team yake ije na vyombo.
Mliona tulipopata janga la MV Bukoba, mliona tulipopata janga la treni?? Jamani Tz sio free kwa majanga, tufikiri kuanzisha hiki kitengo cha maafa na tusijikongoje kwenda kwenye majanga. Janga halina itikadi. Msifanye kila kitu siasa. Mahindi yakitolewa na mh Mbowe hayamuathiri mwana CCM. Serekali itende mengi kwa wananchi 2020 upinzani watainua mikono juu. Hakuna tena wa kuhadaiwa na maneno (porojo) leo. Sitaki siasa za chuki hata kwa mfiwa.

Tatizo lenu hata shule mlikimbia.
Kwanza utambue kwa Tanzania hili ni tukio nadra sana, hata ujenzi.wetu.haukuzingatia.mambo ya matetemeko kwa kiasi kikubwa.

Lakini pia huwezi predict tetemeko, waliosoma seismology wanajua. Sanasana wanaweza kukuarifu kuwa eneo flani ni possible kwa tetemeko kutokana na mlalano wa.miamba gamba.

Sasa watu mnakuja na maneno ya utabiri hii sio solar system

Naona.mnawaza 2020, nani wa kuwapa nchi ninyi.hamuaminiki labda miaka.mia.ijayo tutawafikiria
 
Hivi ni misaada gani Mbowe alitoa alipoenda Kagera?
You are too low minded moron. Hivi wewe kwenye mambo kama haya unaingiza siasa?? kichwa kinafanya kazi vizuri? Hivi mtu yeyote anayeongea mapungufu ya Magufuli wewe kwa mtazamo wako lazima awe wa upinzani au mfuasi wa Mbowe?
 
Wanajamvi,
Kwa jinsi baadhi ya wanaomtakia mabaya JPM, naona wameanzisha nyuzi hasi humu.
Nimemsikiliza Rais katoa speech safi tu wala si kiviiiile wana mtandao walivoreport humu.

Amesema michango hii.inayotolewa itagawiwa pengine bati ishirini ama mifuko ya cement kumi. Lakini kasema tetemeko hili linaweza kutokea mahali popote anytime.

Wanasiasa wanatoa porojo tu bila hata kusaidia chochote.

JPM ni sauti ya kazi. Viva Magu
Huteuliwi ngo'! UDC na vyeo vingine utabaki kuvickia tu
 
You are too low minded moron. Hivi wewe kwenye mambo kama haya unaingiza siasa?? kichwa kinafanya kazi vizuri? Hivi mtu yeyote anayeongea mapungufu ya Magufuli wewe kwa mtazamo wako lazima awe wa upinzani au mfuasi wa Mbowe?

Siasa za hawa jamaa zako.zimepitwa na wakati.

Ati unacapitalise ktk janga usikike kisiasa, wapeleke misaada kwa utaratibu mzuri alioutoa Waziri Mkuu finish.
 
Huteuliwi ngo'! UDC na vyeo vingine utabaki kuvickia tu

Kama.ndio mmejipanga kuwapamba waleta mazingaombwe ili mpate cheo mtasubiri sana.

Ujio wa Magufuli kwetu sisi tuliotaka Mabadiliko ya kweli is more than enough.

Hiyo coalition ya kikanda haifui dafu hapa kazi tu
 
Tatizo lenu hata shule mlikimbia.
Kwanza utambue kwa Tanzania hili ni tukio nadra sana, hata ujenzi.wetu.haukuzingatia.mambo ya matetemeko kwa kiasi kikubwa.

Lakini pia huwezi predict tetemeko, waliosoma seismology wanajua. Sanasana wanaweza kukuarifu kuwa eneo flani ni possible kwa tetemeko kutokana na mlalano wa.miamba gamba.

Sasa watu mnakuja na maneno ya utabiri hii sio solar system

Naona.mnawaza 2020, nani wa kuwapa nchi ninyi.hamuaminiki labda miaka.mia.ijayo tutawafikiria
Mnafikiri nchi ni yenu, yaani ninalia machozi kwa kuwa kanuni zinanizuia kukutukana.
 
Kama.ndio mmejipanga kuwapamba waleta mazingaombwe ili mpate cheo mtasubiri sana.

Ujio wa Magufuli kwetu sisi tuliotaka Mabadiliko ya kweli is more than enough.

Hiyo coalition ya kikanda haifui dafu hapa kazi tu
Kumbe wewe bdo unazimwi la 'kikanda'? Pole sana mkuu hilo halikuli likakwisha[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Eti Waziri Mkuu anachangisha mabolozi na wafanyabiashara kisha pesa zilizopatikana zinapelekwa Bukoba kwa jina la serikali ya Tanzania. Kwanini mnatuongopea watanzania wakati tunafahamu kwamba serikali ya CCM haijatoa hata senti huku serikali za Kenya na Uganda zikichangia zaidi ya mil. 400 Tsh kila moja.
 
Mnafikiri nchi ni yenu, yaani ninalia machozi kwa kuwa kanuni zinanizuia kukutukana.

Tukana uone kama Melo hajakutupa kolokoloni,

Sometimes inabidi tuwape za.pua maana.mmezidi.
Ukimya wa wengine mnawaona.washamba.
 
Back
Top Bottom