Waarabu wana tabia chafu sana sipendi kabisa kuwaona...maana namkumbuka jamaa kila nikiwaona hawskawii kukunyongea usirudi kabisa bongo... Au ukarudi ukiwa mzee huna jipya,, chonde usifanye mzaa wa kumshawishi ndugu yako aende huko
Watu wanajiajiri sana ila serikal nayo isaport bhana ..
MTU akiamzisha hata kituo cha kuosha magari boda utaona wakudai mapato hapo kweli...
SIS NI WATU WA KUBUNI TU LESENI ZA MAPATO NA SIO MIRADI ITAKAYOTUPATIA KODI.
Rafiki yangu alienda kule Kuwait ... Alimwamin agent wake lkn baada ya yeye kupata mpunga wake walipoteana hatari... Ikafika ananitafuta wasap ... Baada ya muda hakupatikana hadi Leo hii.. Bila shaka kanyang'anywa na simu yenyewe... Sijui yupoje huko...
Komaa tu hapa bongo ndugu Mungu ni Mwema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.