Hata msichana wa Kazi za nyumbani anapoacha Kazi na kurudi kwako usipomkagua kwenye begi lake LA nguo unaweza ukagundua ameondoka na chupi za mkeo au za watoto wako. Eti makonteina ya madini ya accacia yaondoke yasikaguliwe wala kuchunguzwa kwa kuwa eti wana mikataba, kama si ulofa ni nini? Hii...
Tulidhani lisu kwa utaalamu wa sheria alionao ataonesha kuisaidia na kuishauri nchi Tanzania kumbe keshaonesha woga na kuanza kuwatetea mabwana wazungu.
Ni bora tubaki kuwa maskini lakini tuwe na rasilimali zetu intact, kuliko tuendekee kuwa maskini na rasilimali zetu zinachuliwa bureee kwa manufaa ya watu wachake bila kutuletea tija watanzania.
Wajinga ndiyo wali wetu, haya twendeni tukajae kanisani kwake na sadaka zetu nyingi mifukoni kusikiliza habari za kipuuzi za ligi kati ya bashite na askofu badala ya kuongelea mahubiri ya mungu, hapo ameshazoa mapesa kweli ukisoma hukosi Kazi fursa nyingiii mjini ni kuplani tu hela zinaingia.
Uchunguzi aunzie kwa kiongozi wake aliyekuwa anamsaidia kikazi maana ulikuwa nae karibu muda wote, hatujui wengine alimpa likizo ndefu au safari za kikazi au amemficha kutafuta kiki. Atoe maelezo ya awali
Mtego wa panya huo.na hao waliomdahili na kumpitisha aendelee na masomo ya juu wakati huo nao wakamatwe washtakiwe maana bila shaka kulikuwa na mazingira ya rushwa.
Technicians au engineer lazima asome na awe na vyeti sahihi kabla hajaendesha ndege ,au kabla hajamfanyia MTU upasuaji, au kabla hajafyatua mizinga ya kijeshi. Hizo nifani. Umwenyekiti wa chama au ukuu wa wilaya/ mkoa au kitongoji ni uongozi wa kisiasa unahitaji tu utashi na uwezo wa MTU...
Aliyetongozwa ni wemaaa au mama yake? Au wote? He waliomtongoza mwema wote mama alishiriki au alishirikishwa, basi ki mila zetu na huyo mama nae ni changu tu kama huyo siwema
Mashabiki wa kushabikia mambo ni wengi ikikukuta wanakukimbia unabaki unasota peke yako na familia yako chunga sana, mob psychology ni mbaya usipokuwa makini itakupeleka pabaya,wahenga husema ukifundishwa ongeza na ajili yako.
Waheshimiwa wanaomfokea makonda na kumtisha ni mbinu ya kujifukuzia wasije nao wakatajwa maana labda nao wanashiriki kwa namna moja au nyingine katika kunufaika na biashara hii ya madawa ya kulevya. Keep it up makonda tunasubiri awamu ya 3, kawachomoe tu hata hao wanaojificha katika mgongo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.