David Kafulila amtaka RC Makonda kuonesha vyeti

Aliemchagua nasikia kasema hamtoi n'goo kama kweli nchi hii ina wanasheria na asasi tunaomba muwatetee waliofukuzwa kwa kifoji vyeti.
 
Maskini Kafulila kazidiwa hata na Wema kwa umaarufu huko chadema!
 
Mpaka sasa Hakuna aliefanikiwa kupata Picha ya aliebiwa cheti Ila alieba cheti taarifa zote tumepata.

Imekuaje tumekosa walau kapicha ka Makonda Original Pamoja na utandawazi na mitandao yote tuliyonayo, tunaishia kusema anatangaza Radio Fulani Tabora

Mie nimejifunza Kitu kwny Kashfa ya Richmond tulimsakama sana Mtu Fulani Tena Vipeperushi Makini vikatuambia Mpaka Ushahidi wa Documents wanao, wakahoji Mbona Mtuhumiwa hajakanusha?

Miaka nane Baadae ukaja Wimbo kuwa tulimsingizia Kimakosa na taarifa zile za Ufisadi ilikuwa Vita ya ndani kwa ndani ya Chama chake!!

Pohamba- Hapa sio yuko wapi alieibiwa cheti, Shida ni waliosoma na Makonda wanakanusha kuwa hakuwa na jina hilo wakati wakisoma na kuishi nae na mwisho wa masomo yeye alipata sifuri, Sasa utetezi wako Kuhusu Lowassa hauna mashiko kwani tuhuma za Lowasa zilihusu sana "Political accountability" sio wizi.
 
Huyu kafulila ana matatizo sana katika ubongo wake.

Yaani bado watu wanaishi kwa Mazoea.

Ukweli ni kua:-

Kupata Zero ni tatizo, tena tatizo kubwa sana.

Zero.ni sasa na umeishia elimu ya Upe.(universal primary education(i mean shule ya Msingi).

Kwa mh. Olesendeka kupewa U-RC angali ana sifuri kichwani mwake ni Kosa kubwa sana, na kosa hili limefanywa katika awamu hii ya mapinduzi ya viwanda. Shame to our country...

Ndalichako alipaswa kulivalia njuga swala hili ikiwemo Olesendeka naye aachie ngazi. Period.

Iweje system ijae bashite?

Pili, Daudi hana cheti, unamtakaje akitoe wakati hana?
We naye veeepeee? Hapa tunazungumzia jinai wewe una leta mipasho!! Kupata zero si kosa ni hasara kwa wazazi wako!! Ole sendeka yeye ana zero ya six lakini hakununua cheti kwani sifa ya kuwa Rc kielimu ni ipi??? Ugomvi hapa ni kununua cheti wala sio zero!! Tunataka yeye ndio aseme hana vyeti. Na je hilo jina ni lake?? Mbona ni suala dogo sana jamani!! Ila system ndio wanalikuza kwanini wasiliweke sawa?
 
Huyu kafulila ana matatizo sana katika ubongo wake.

Yaani bado watu wanaishi kwa Mazoea.

Ukweli ni kua:-

Kupata Zero ni tatizo, tena tatizo kubwa sana.

Zero.ni sasa na umeishia elimu ya Upe.(universal primary education(i mean shule ya Msingi).

Kwa mh. Olesendeka kupewa U-RC angali ana sifuri kichwani mwake ni Kosa kubwa sana, na kosa hili limefanywa katika awamu hii ya mapinduzi ya viwanda. Shame to our country...

Ndalichako alipaswa kulivalia njuga swala hili ikiwemo Olesendeka naye aachie ngazi. Period.

Iweje system ijae bashite?

Pili, Daudi hana cheti, unamtakaje akitoe wakati hana?
Mkuu tusichanganye mambo. Suala la Ole Sendeka halifanani hata kidogo na la Daudi Bashite. Ole Sendeka alizungusha form six, hilo halina ubishi. Kwa hiyo Jina lake limebaki hilo hilo na anaendelea kulitumia bila kubadili. Daud yeye baada ya kuzungusha form 4, alitumia cheti cha mtu mwingine kujiendeleza. Hiyo ndio tofauti ya hawa watu wawili. Ndio maaana Ole Sendeka ni RC na hakuna anayehoji vyeti vyake.
 
Mpaka sasa Hakuna aliefanikiwa kupata Picha ya aliebiwa cheti Ila alieba cheti taarifa zote tumepata.

Imekuaje tumekosa walau kapicha ka Makonda Original Pamoja na utandawazi na mitandao yote tuliyonayo, tunaishia kusema anatangaza Radio Fulani Tabora

Mie nimejifunza Kitu kwny Kashfa ya Richmond tulimsakama sana Mtu Fulani Tena Vipeperushi Makini vikatuambia Mpaka Ushahidi wa Documents wanao, wakahoji Mbona Mtuhumiwa hajakanusha?

Miaka nane Baadae ukaja Wimbo kuwa tulimsingizia Kimakosa na taarifa zile za Ufisadi ilikuwa Vita ya ndani kwa ndani ya Chama chake!!
Picha ya huyo mtu ilishawekwa humu jamvini, sema wewe sio mfuatiaji mzuri
 
Mpaka sasa Hakuna aliefanikiwa kupata Picha ya aliebiwa cheti Ila alieba cheti taarifa zote tumepata.

Imekuaje tumekosa walau kapicha ka Makonda Original Pamoja na utandawazi na mitandao yote tuliyonayo, tunaishia kusema anatangaza Radio Fulani Tabora

Mie nimejifunza Kitu kwny Kashfa ya Richmond tulimsakama sana Mtu Fulani Tena Vipeperushi Makini vikatuambia Mpaka Ushahidi wa Documents wanao, wakahoji Mbona Mtuhumiwa hajakanusha?

Miaka nane Baadae ukaja Wimbo kuwa tulimsingizia Kimakosa na taarifa zile za Ufisadi ilikuwa Vita ya ndani kwa ndani ya Chama chake!!

Gwajima ana full data za muuzaji
 
Mbowe ni mkuu wa mkoa gani? Au ana cheo gani serikalini? Hii ni sera ya serikali kahakiki vyeti vya watumishi wote wa umma. Serikali itakapoanza kahakiki vya wenyeviti wa vyama vya upinzani tutaanza na Mbowe, lakini sasa hivi mwambieni Bashite aache kulialia aweke vyeti! Sawa motojuu!
usi mshangae na yeye anakuja na wenyeviti wa vyama.
 
Salam wakuu......

Zitto alipokuwa anagombea ubunge mwaka 2005 wapinzani wake waliibua hoja kua hajasoma, zitto alionyesha vyeti vyake na hoja hiyo IKAFA.

TAFAKARI (1)

Mtu yuleyule aliyeisifia serikali kwa kuwafukuza kazi watu waliofoji vyeti ndo huyohuyo anamtetea DAUDI leo. UNAFIKI!!!!!!!!!!!!

TAFAKARI (2)

Hoja hapa sio DAUDI kupata sifuri,mbona hata ole sendeka anayo sifuri safi kabisa lakini pia ni RC?? Hoja hapa ni kiongozi kuiba cheti.....

TAFAKARI NA DAVID KAFULILA

View attachment 478982

Acha unyani unyani wewe umesoma.

mr mkiki
 
Attachments

  • bashite.mp4
    2.4 MB · Views: 17
ni kweli makonda inaonyesha si jina lake halisi ila muacheni yupo hapo kwenye program maalum yaani sukumalism na mda si mrefu tunataka kujenga empire ya sukumalism ambayo itapelekea taifa moja kabila moja na ndio lugha itakuwa ya taifa na itakuwa lugha ya kufundishia mashuleni!mpo hapo?
 
Mtego wa panya huo.na hao waliomdahili na kumpitisha aendelee na masomo ya juu wakati huo nao wakamatwe washtakiwe maana bila shaka kulikuwa na mazingira ya rushwa.
 
Yes, he should prove beyond the reasonable doubt coz yeye ni sehemu ya serikali. Ndio maana ya transparency na kula kiapo cha maadili.
 
Mpaka sasa Hakuna aliefanikiwa kupata Picha ya aliebiwa cheti Ila alieba cheti taarifa zote tumepata.

Imekuaje tumekosa walau kapicha ka Makonda Original Pamoja na utandawazi na mitandao yote tuliyonayo, tunaishia kusema anatangaza Radio Fulani Tabora

Mie nimejifunza Kitu kwny Kashfa ya Richmond tulimsakama sana Mtu Fulani Tena Vipeperushi Makini vikatuambia Mpaka Ushahidi wa Documents wanao, wakahoji Mbona Mtuhumiwa hajakanusha?

Miaka nane Baadae ukaja Wimbo kuwa tulimsingizia Kimakosa na taarifa zile za Ufisadi ilikuwa Vita ya ndani kwa ndani ya Chama chake!!
Kwahiyo Bashite naye aende CDM jipambanunue tujue bhasi
 
Back
Top Bottom