Recent content by Kanyamabu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere atakuwa Baba wa Taifa la Tanzania milele?

    Nyerere atabaki kuwa ndiyeBaba wa Taifa letu kamwe haitobadilika
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Asante kwa elimu bora uliyonayo,nimejifunza mengi sana.mungu akubariki
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kibaka akiwa hoi Kigamboni

    utakuwa ni mlevi tu,mtu aliyepewa kichapo hawezi kuwa ivyo.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mama Anna Tibaijuka kijijini Muleba

    Duuh ni noma uyo mmama
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe achukua maamuzi baada ya ajali Musoma

    njia pekee ya kukomesha tatizo la ajali za kizembe barabarani ni kuweka sheria kali kama vile kifungo cha maisha au kunyongwa kabisa lakini rushwa sasa kwenye izo idara husika ni balaa!mtu anafanya uzembe anaua watu kwa ajari za kizembe kesho utamkuta yupo na gari jingine anatamba...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mauaji Geita: IGP atoa sh10m

    mambo ya polisi jamii hayo zamani hayakuwepo hayo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    hao jamaa ni noma hata mimi juzi kati nilipigwa buku2 ukiuliza wanakwambia ujinga tu
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kashfa mpya jeshi la polisi

    watakaofukuzwa watakua na machungu zaidi ya Boko haram ya Nigeria hatutakua na amani tuliyonayo waacheni wamalizie mud a wao
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kashfa mpya jeshi la polisi

    wanataka kutuletea majanga kwani watapeana siraha na nchi itayumba itaanza boko halali tz sijui wanafikilia kwa kutumia nn hao jamaa?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tabia mbaya kumi zinazofanya ushindwe kuwa na akiba "savings"

    uko sawa kabisaaaaaaaa mkuuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mafuriko Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya yamefunga barabara kuu ya Kikusya Matema

    poleni watanzania wenzangu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Imamu anusurika kifo kwa wizi wa ‘kitimoto’

    kiti moto si mchezo mkuu.yuko sawa
  13. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    wavuliwe tu
  14. K

    JamiiForums Tanzania KAWAMBWA.Shule za serikali zinachukua wanafunzi makapi.

    ayo makapi kayaleta yeye ni ovyo kabisa ameharibu sana maisha ya madogo
Back
Top Bottom