kama wewe siyo mwalimu hasa wa shule za kata ni rahisi kutomwelewa kawambwa.ila alochosema ni kweli asilimia moa moja.shule za kata na nyingine za serikali zinachukua wanafunzi wenye ufaulu wa chini sana ndo hawa kawambwa anawaita makapi.hawa wengi wao uwwzo wa kusoma na kuandika ni mdogo.uelewa wao wa stadi za masomo uko chini sana.hataa kama shule ingekuwa na walimu makini vutabu maktaba na maabara hawa hawawezi kufaulu kwa viwango vya kiridhisha isipokuwa watafaulu kwa viwango vya chini sana.shule binafsi hasa zinazoongoza kwa kufaulisha wanachukua wattoto wenye ufaulu mkubwa sana.tena wana utaratibu wa kuwachuja kwa mitihani kila mwisho w mwaka
mwanafunzi akishindwa kufikisha alama fulani anarudishwa nyumbani.shule za serikali twende tu hata kama anapata wastani wa tatu huyo anaendelea tu na kidato kingine.mwanafunzi kama huyi hawezi kufaulu
shule kama mzumbe,ilboru n.k.hizo ni shule zenye ufaulu wa juu hat matokeo yake yatakuwa ni mazuri tu.