Mh najaribu kumuwazia askari ambaye ana miaka 23 kazini labda. Akiacha hapo anaenda kufanya kazi gani?
Kile kikundi cha mbwa mwitu sasa kitaingiza wataalamu rasmi...yetu macho
Wamekaa miaka yote hiyo leo ndo mnataka kuwachukulia hatua.na si ajabu hao vyet feki ndo watendaji wazur kuliko dvn five.wawaache waliopo ila wawe makini ktk ajira mpya vinginevyo ujambaz na vikund haram vitaanzishwa nchi hii.
Sawa tunampongeza Mangu maana huo ni mwanzo mzuri, lakini vipi yeye hajafoji cheti?tumpongeze IGP MANGU NI MTU makini hana doa ya rushwa ila tumwombee Mungu maadui wanaomchukia kazini ni wengi na mpaka amalize mda wake kila mtanzania atasifia jeshi la polisi.
Mangu ameruhusu askari wengi kujiendeleza kimasomo pia jeshi kwa sasa inaajiri vijana wenye taaluma
UTII WA SHERIA BILA SHURUTI
whats th hell? Kama mtu amefundishwa akafuvu,maana yake mmemkubali,regardless alifojo cheti sasa mnafukuza kwa kigezo gani? Kwani nia kuu ya cheti ni nini? Mi najua ni kuchukua capable one to undergo training.Sasa mtakaowafukuza wataenda wapi? Katika stage za mwanzo zaku filtering mlikua wapi?
Mh najaribu kumuwazia askari ambaye ana miaka 23 kazini labda. Akiacha hapo anaenda kufanya kazi gani?
Sawa tunampongeza Mangu maana huo ni mwanzo mzuri, lakini vipi yeye hajafoji cheti?
Nauliza tu mkuu.Kuna unalolijua hatulijui mkuu??!
Mh najaribu kumuwazia askari ambaye ana miaka 23 kazini labda. Akiacha hapo anaenda kufanya kazi gani?
Maadamu walishapata Mafunzo ya Uaskari na kufuzu na ukizingatia uhaba wa maaskari na sungura mdogo ambaye hataruhusu kuwezesha kurecruty wapya na kukwepa kutengeneza majambazi yenye utaalamu. Nashauri badala ya kuwafukuza
wapewe fursa ya kujiendeleza pale walipokomea kihalali.