Mkuu unajifunza kutuma post na picha jf nn?Kibaka mmoja toka maeneo ya Mji Mwema Kigamboni ameshughulikiwa na wananchi wenye hasira kali karibia kutolewa roho baada ya kuingia nyumba ya watu eneo la kiwanda cha viatu na kuiba simu na nguo majira ya saa 8 usiku wa kuamkia leo.
My take: Vijana acheni kupenda vya dezo mtakufa.