Mchakato wa uteuzi wa askofu ni mchakato mrefu kidogo ambapo ndani yake kuna hiyo demokrasia unayosema
Sio kwamba papa anaamka tu anateua hapana kuna mchakato unafuatwa ndio maana Toka Askofu Rwoma alipostaafu ni mwaka sasa ndio ameteuliwa askofu mwingine. Hii inamaana kuna mchakato unakua...
Ila wabongo bn hapo ukute hata kujaribu kucheza bado ila ushamuhukumu mwenzako kacopy code
Em nipe app unayoweza kucheza lastcard au albastini kibongobongo yaan Kwa sheria zetu wabongo
Wale marafiki zangu nliokua nacheza nao michezo ya lastcard na draft zamani kwa Sasa tuko mbalimbali katika harakati za maisha,ila kupitia app hii tumekutana Tena na tumesukuma kete,tumecheza lastcard na tumefurahia kwakweli
Tunashukuru Sana kali linux kwa ubunifu wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.