Nahitaji mtu anaeweza kutengeneza android app kwaajili ya delivery

Nahitaji mtu ambae anauwezo wa kutengeneza app kwaajili ya delivery mwenye uzoefu na awe tayari kunionesha kazi zake pia bei iwe rafiki
Nina wazo kama hiloo tunaweza kutengeneza team pamoja.. Hila hii sio new idea lazima tujipange na ushindanii
 
Hilo mm nafaham but kuna angle bado haijaguswa hususani hapa tanzania naamini nitafanikiwa kupitia hicho kipengele
 
Umeeleza kwa ufupi sana! Unataka app ya delivery iweje? Unaweza kutaja functionalities zake? Au na wewe haufahamu ila unataka idea kutoka kwa dev mwenyewe?
Nahitaji mtu ambae anauwezo wa kutengeneza app kwaajili ya delivery mwenye uzoefu na awe tayari kunionesha kazi zake pia bei iwe rafiki
 
Umeeleza kwa ufupi sana! Unataka app ya delivery iweje? Unaweza kutaja functionalities zake? Au na wewe haufahamu ila unataka idea kutoka kwa dev mwenyewe?
Namtaka developer nimpe kazi nikiweka idea hapa unaweza kuamk ukakut watu wamepita na idea
 
Tengeneza kwa kutumia Akili Mnemba
1000031021.jpg
 
Aisee ninatisha sana kwenye angle hiyo,nilishatengeneza app ya kutabiri matendo maovu ya ccm,hata hili la Lissu linaloendelea sasa lilishatabiriwa na App yangu
 
Namtaka developer nimpe kazi nikiweka idea hapa unaweza kuamk ukakut watu wamepita na idea
Idea hakuna mtu anaweza kukuibia, kitakacho kufelisha ni strategy zako sokoni kwa wateja wako

Kila mtu yuko na idea ya kutengeneza kuku kana za KFC, but kwanini wanashindwa kufanya kama KFC wakawa washindani wake
 
ndo wabongo wengi wanafeli hapo, kujifungia na idea sio solution, wewe fanya kwanza execution. Unaweza kukuta hichohicho kitu unachokifikiria ukidhan ni unique kumbe kuna mtu huko Namtumbo ndani ndani nae anakifikiria.

Execution is everything. How you execute and how fast you execute will give u an edge.
 
Ni kweli unajua ukimwambia mtu nataka kufanya ABC atakuelewa na hata akija na plan yake kutaka kuichukua hiyo plan yako hawezi fanikiwa maana blueprints nzima iko kichwani kwako

Aweke kitu clear ili kupunguziwa gharama za utengenezaji wa hiyo hapo na hapo hapo atapata idea nyingine kwa watu na ataweza kuongeza hizo idea kwenye ideas zako
 
ndo wabongo wengi wanafeli hapo, kujifungia na idea sio solution, wewe fanya kwanza execution. Unaweza kukuta hichohicho kitu unachokifikiria ukidhan ni unique kumbe kuna mtu huko Namtumbo ndani ndani nae anakifikiria.

Execution is everything. How you execute and how fast you execute will give u an edge.
Mm ni muhanga wa kumshirikush mtu idea kisha kukuta kaifanya nimesema nahitj developer sijasemanahitaji mshirikaningehjgj mshiriki ningekuja na wazo ili atakarvutiwa tuungane mm tayari nina idea tyari nakuna angle nimeon haijaguswa bado hasa kwa hapa nchini

Nishirikishe idea kesho niikute mjini? Aliyeunda whatsap angeshirikisha anetoboa? Wew unaitaj idea yangu uifanyue nn? Kwa madhumuni gani?
 
ndo wabongo wengi wanafeli hapo, kujifungia na idea sio solution, wewe fanya kwanza execution. Unaweza kukuta hichohicho kitu unachokifikiria ukidhan ni unique kumbe kuna mtu huko Namtumbo ndani ndani nae anakifikiria.

Execution is everything. How you execute and how fast you execute will give u an edge.

Execution is everything.
 
Back
Top Bottom