Msaada: App ya kutuma SMS moja Kwa watu wengi

samrich234

Member
Nov 7, 2022
42
20
Heshima zenu wakuu,naomba App nzuri ambayo nitaweza kutuma SMS moja Kwa watu wengi ndugu zangu.

Nawasilisha
 
Kwa ufahamu wangu hata ile default application ya sms katika simu janja (mfano samsung) inakuruhusu ku add number za wapokeaji kadiri uwezavyo.

Yani una compose sms moja then u keep adding contacts ambazo unataka zipokee ujumbe huo.

Au unaweza create groups ambazo humo una add contacts kisha ukitaka kutuma sms una select tu group unalotaka ku share nao ujumbe.
20221113_115656.png

Mfano 👆 so inategemeana na idadi ya watu unaowataka basi unawa add tu
 
Kwa ufahamu wangu hata ile default application ya sms katika simu janja (mfano samsung) inakuruhusu ku add number za wapokeaji kadiri uwezavyo.

Yani una compose sms moja then u keep adding contacts ambazo unataka zipokee ujumbe huo.

Au unaweza create groups ambazo humo una add contacts kisha ukitaka kutuma sms una select tu group unalotaka ku share nao ujumbe.
View attachment 2415342
Yangu haina

Redmi note 9 pro
 
Nimedaka kitu
 
Back
Top Bottom