Recent content by Kanguni

  1. K

    Mchumba wangu anatoka na baba yake mzazi, nifanyeje?

    Mwoe, sepa nae mkaishi nje ya mkoa mliopo sasa, ikiwezekana kilometa elfu kadhaa. Kisha usimruhusu kwenda nyumbani wazazi kwa namna yoyote ile, iwe kusalimia, homa, msiba, au chochote... hata iweje... piga ua... hadi uhakikishe ndugu zake wa kiume wote wa age 15 above wameshafariki na kuzikwa...
  2. K

    Ninashindwa kumweleza

    Did the word seduction mean anything to you? Seduction=The silent scream of i love uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Try that, and pliz do it the feminine way and pray. Sooner or later, utaukalia...
  3. K

    Swali kwa wenye wapenzi zaidi ya mmoja.

    sioni utata hapo mkuu. kuna njia zaidi ya elfu za kudoji hayo maombi. after all bado tupo kwenye mfumo dume... remember? Jaribu ku-recreate problem yako tukusovie. Iweke ki-coincidence fulani hivi...
  4. K

    Anataka to do kabla ya ndoa.

    kwanza hiyo ndoa yenyewe imepangwa mbali kiasi gani? afu kikweli jamaa inabidi apige nundu tu... akumbuke tu kutazama kushoto na kulia kabla ya kuvuka barabara.
  5. K

    Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya

    Kibibi Gula
  6. K

    Natafuta Past Papers za CSEE ENGLISH FORM IV

    Ukijiona unahaha kutafuta past papers wakati huna wala hutafuti vitabu, jua na we ndo wale waleeeeee...
  7. K

    Kwanini wanafunzi wengi wanafeli?unajua kunanini nyuma ya pazia

    unaonaje ukibalance equation na Wazazi aka madingi?
  8. K

    Kwanini wanafunzi wengi wanafeli?unajua kunanini nyuma ya pazia

    wanazolewa kiulaini mno darasa la saba, thats why wanajiachia na kwa kuota kwamba historia itajirudia...
  9. K

    maajabu ya shule za kata....

    halafu eti wakipata zero wanazimia.... damn...
  10. K

    maajabu ya shule za kata....

    mkuu, huyo mwanafunzi ana IQ ndogo sana, na nahisi hata kiswahili aligonga mswaki.
  11. K

    Mwanafunzi azimia baada ya kupata div 0 matokeo ya form four 2011

    ndoto hizo. mtu mwenye uwezo wa I au II hawezi kupata point 34 !, anataka tu kuwafool watu kwa kuplay innocent. aaaaagh...
  12. K

    Mwanafunzi azimia baada ya kupata div 0 matokeo ya form four 2011

    wengi ni wazembe sana, mwanafunzi hata kwa kuongea naye tu unagundua ana ufahamu wa chini kabisa, ila anapofanya mtihani anatarajia miujiza... anaota I wakati hata knowlege ya IV hana. its just crazy...
  13. K

    Ni wakati muafaka wa kurudisha "BAKORA" mashuleni

    what?... yaani asichapwe kisa kavunja ungo! kumheshimu au ndo human rights?
  14. K

    hivi kwanini wanaume huwachoka wake zao?

    hii scenario ni complex sana. kila mmoja ana sababu zake za msingi za kucondemn au kujustfy. tunabaki kunyoosheana vidole. well... kwangu mimi nahisi tatizo hili lipo ki nature zaidi, na nadhani hadi hapo idadi ya wanaume kwenye jamii itakapozidi idadi ya wanawake, hali itabaki kuwa hivi. demand...
  15. K

    ZITTO ataka turudi GIZANI

    Duh!... hapo mwana umeenda chaka... unaposema umeme tunapata unamaana we mbongo mwenzetu una uhakika wa umeme wa kudumu? unaishi mitaa ipi?... magogoni?... Hata Ze Big Boss mwenyewe shidhani kama anashare mtazamo wako... Tatizo la umeme bado lipo mkuu, na mapungufu kwenye mikataba ya manunuzi...
Back
Top Bottom