Natafuta Past Papers za CSEE ENGLISH FORM IV

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
naomba kama kuna mwanaJF yoyote anayefahamu namna ya kupata past papers za somo la Kiingereza csee. Kwa anayefahamu au aliyenazo (za miaka yoyote nyuma mpaka kufikia 2011) naomba aniPM tafadhali.
 
Hebu jaribu kum PM Nyambale Nyangwine anaweza kuwa nazo...

Nyie vijana mnaosoma mitihani na kukalili majibu kwa vile yanajirudia mataliweza kweli soko la pamoja la afrika mashariki. Hakuna njia ya mkato ya Elimu, kamateni vitabu msome.
 
Ukijiona unahaha kutafuta past papers wakati huna wala hutafuti vitabu, jua na we ndo wale waleeeeee...
 
Back
Top Bottom