hivi kwanini wanaume huwachoka wake zao?

Kuzaa sio lazima uchoke; inategemea na nature ya mwili wako; kama baba yako ali-boost ndo aweze kushiriki tendo na mama yako, umezaliwa mjini ukakuzwa kwa maziwa ya makopo, mayai toka kwa makuku tahira, maunga sembe yasiyokuwa na kirutubisho chochote, mijasho ya mama yako iliyokuwa imejaa mikorogo n.k
 
Binadamu tunachokana tena sana. Wanawake wanachosha, wanaume wanachosha tena sana. Kinachobaki ni mmoja kumg'ang'ania mwenzake maisha yasonge..
 
Mh. kaaz kweli kweli. ila naomba niongee japo kidogo. unajua vyie wanawake mpo wachache sana mnalolijua hili.
mwingine akishaolewa tu anaamua kujiachia anakuwa mchafuuuuuuuuuu, kama anafuganywele ndo kabisaaaaaaa nywele zinanukaaaaaaaaaaaaaaa. utakuta mtu anakujibu upuuuzi tuuuuuuuuuuuuuu, sasa kwa nini usiende kupata ajira ya muda sehemu utakakobambelezwa honey za kumwaga japo ni za kiwiziwizi ili utoe pesa vizuri. ila ndo hivyo maisha yanasionga mbele. hata kama ni mimi lazima nikatafute dogodogo nje wanaojua mapenzi. afu mwanamke akishajifungua tu anabase kwa mtoto zaidi. unaweza ukakuta hata msosi home hakuna ama mbichi kisa mtoto alikuwa ansumbua, hata kutoa maagizo kwa house girl unashindwa utaona kanyamaza.
 
1.I think hii ni nature kitu chochote ukishakua nacho na kukimiliki wewe umuhimu wake unapungua,na ile kukitaka sana kunapungua.Kilichopo hapo sasa ni kuushinda moyo na kuwa na personal commitment kwa wife,Kitu ambacho kinawashinda wanaume wengi.

2.Mara nyingi wanaume wanapenda na kumuweka mtu akilini na sio moyoni kama mwanamke,Mwanamke akipenda amependa kweli.Sasa kwa mwanaume anaependa kwa akili ni rahisi kusahau na kupotezea.Hicho hua kinatokea pia.
 
hii scenario ni complex sana. kila mmoja ana sababu zake za msingi za kucondemn au kujustfy. tunabaki kunyoosheana vidole.
well... kwangu mimi nahisi tatizo hili lipo ki nature zaidi, na nadhani hadi hapo idadi ya wanaume kwenye jamii itakapozidi idadi ya wanawake, hali itabaki kuwa hivi. demand and supply... remember?
 
Back
Top Bottom