Kwanini wanafunzi wengi wanafeli?unajua kunanini nyuma ya pazia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wanafunzi wengi wanafeli?unajua kunanini nyuma ya pazia

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by K-killer, Feb 9, 2012.

 1. K-killer

  K-killer Senior Member

  #1
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wakuu,imekua ni jambo la ajabu sana kua unaweza kuona baadhi ya wanafunzi huwa wanafaulu karibu mihula yote wanayokuaga darasani na vidato mbali mbali lakini inakuaga vigumu sana wanafunzi hawa kufaulu form4 au form6 hata kama wanaakili au hufaulu kwa wastani basi wakifika form4 au form6 unakuta wanapata division4 au zero kabisa,wakati mitiani mingine yakuwapima unakuta wanaweza pata division1 au division2.Swali linakuja,Je inawezekana kweli mwanafunzi awe anafaulu hiyo mihula minginge lakini akifika finals za form4 au form6 anafeli kabisa kama hana akili?au kuna hujumu flani inafanyika na watendaji wa serikali dhidi ya wanafunzi?je kwanini kama ni kweli hawa watendaji wa serikali wanaodili na mitihani ya hawa wanafunzi huwa wanawafanyia hujuma wanafunzi na kuwafelisha mitihani hii ya form4 au form6?inawezekana kuwa ni kwasababu serikali inajaribu kupunguza idadi ya wanafunzi wanaofaulu ili kukwepa kuongezeka kwa garama wanazotumia kuwapa wanafunzi walofaulu kama hawa wanafunzi wa vyuo ambao kutwa hata wao zile ela wanazopewa haziwatoshelezi na kila siku wanaleta migomo vyuoni.Tukiangalia kwa upana zaidi tunaona kwenye upande wa elimu serikali haijatilia mkazo katika swala la elimu,imekua haionyeshi jitihada kujitahidi wananchi wetu watanzania kuondokana na ujinga through education,lakini insted tumeshuhudia serikali yetu ikikandamiza sekta ya elimu bila kuisaidia kama inavyotakiwa kwa kujenga majengo mazuri yaa shule,kutoa vifaa na maabara ya kiwango cha juu shule ziwe na vifaa vyakutosha kukidhi na kua katika viwango vinavyoitajika.Je nitakua nakosea kusema serikali inafanya ivi makusudi ili tubaki kuwa wajinga na tusiendelee kujua lolote linaloendelea nchini kwa kutunyima taaluma ya msingi ya elimu?wanataka tubaki kuwa wajinga kila wasemalo tuone sawa kwakua hatujasoma?je mamilioni ya pesa wanayotumia unnecessarly kwa mapati yao na kadhalika,leo hii wangetumia hizo fedha kwa kujenga shule si tungekua na shule nyingi na karibu ya 80% wangekua wamefuta ujinga na wamesoma.Hii ni wazi serikali inapenda tuzidi kuwa wajinga na kutu discourage tujione wajinga hatuna akili,ndo maana wengi wanaofeli hata form4 au form6 wanaishia mtaani kama wazee wao hawana uwezo..Nawashilisha hoja,tuchanganue jamani ningependa kujua zaidi pia nanyi wenye michango yenu
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Feb 9, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,493
  Likes Received: 5,723
  Trophy Points: 280
  nyuma mtoto wa kikwete mpwa
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Feb 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,410
  Trophy Points: 280
  Kama wanajibu mitihani kwa kuandika kama ulivyoandika wewe no wonder wengi wanafeli!

  Sasa ungepangilia hoja zako kwa kutumia aya ingekuwa rahisi hata kufuata kile unachokisema bila kuchoka wala kurudia rudia kusoma.

  Unaonaje ukiweka aya kwenye bandiko lako?
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  aya kidogo basi_mkuu!
   
 5. A

  Abu Musaab New Member

  #5
  Feb 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sababu za kufeli zipo aina mbili kuna za kisiasa na sababu halisi. mimi nitataja sababu halisi
  1. kuporomoka kwa maadili "displine" za wanafunzi na waalimu
  2. kuenea kwa filamu za kijinga za kibongo na za nchi nyingine ambazo zinawajenge vijaana kuona maisha ni rahisi kama wanavyoona wahusika wakiishi kwenye filamu
  3. kupoteza muda mrefu kwenye hizi filamu na miepsode isiyotija
  4. wanafunzi kujihusisha na mapenzi
  5.kuongezeka kwa mayatima walio na baba na mama yaani wazazi wako hai lakini role yao ni zero katika malezi kazi yao ni kuwapa chakula tu, eti baba anakaa na mwanaye anatazama ze comedi
   
 6. m

  mtanzania1989 JF-Expert Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 2,142
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Hakuna hiyo kitu , either hiyo mitihani ni chini ya 'Standards' zinazotakiwa au ,
  unatuhadaa ili kuondoa lawama kwa wanafunzi ambao baadhi yao wamejitakia,
  Halafu NECTA haifelishi mwanafunzi yeyote...
   
 7. K-killer

  K-killer Senior Member

  #7
  Feb 11, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acha pumba,alokwambia mitihani inakua chini ya kiwango nani?inakuaga ya standard na mara nyingi huwa wanaangalia region wise mwanafunzi gani kafaulu zaidi kabla hawajafanya NECTA
   
 8. +255

  +255 JF-Expert Member

  #8
  Feb 11, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Hakuna cha nyuma ya pazia, watoto hawasomi...
   
 9. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kwa sisi walimu wa sekondari undani wa mambo ni wanafunzi hawana mwamko na elimu kabisa. Sababu nyingine ni elimu ya shule ya msingi imekuwa bora liende form 2 hajui kusoma wa la kuandika. Wao ni bongo fleva na filamu.Tujaribu kizazi kijacho sio hich Tujari
   
 10. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  Dear friend, those Pre Necta Exams of yours are Neither varid nor reliable. Pia marking zenu zinakuwa biasd kutokana na jinsi gani unafaham performance ya wanafunzi wako. Kamata glasi ya maji kupunguza hasira Mkuu!
   
 11. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Serikali+Walimu+Wanafunzi=Bad performance.
   
 12. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  serikali +
  wanafunzi + walimu +Kabembe = Bad performance.
   
 13. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wengi manunda tu
   
 14. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kabembe ndio nini!!!??
   
 15. K

  Kanguni Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanazolewa kiulaini mno darasa la saba, thats why wanajiachia na kwa kuota kwamba historia itajirudia...
   
 16. K

  Kanguni Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaonaje ukibalance equation na Wazazi aka madingi?
   
 17. King2

  King2 JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hayo ni mawazo yako.
   
 18. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,402
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Hata mi mwenyewe najishangaa nilifeli hivyo hivyo,kwahiyo acha na wao wafeli ili tuwe sawa!!!
   
 19. K-killer

  K-killer Senior Member

  #19
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  KwAni ndugu zangu,unataka kuniambia hamna mtu unayemjua ambaye ashuleni kwenu alikua kichwa sana anafaulu au mtu yoyote unamjua,alafu mwisho wa siku kwenye finalas NECTA akafeli?hamna hujuma kweli kwenye kusaishia wanafunzi wetu?
   
 20. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  walimu tunahusika kwa vipi hapa??hebu acha upuuz mshahara wenyewe unaisha siku mbili tu halafu bado mwatupa lawama
   
Loading...