Swali kwa wenye wapenzi zaidi ya mmoja.

Ivi,let say kwamba una wapenzi wawili ambao hawajuani,then siku ya siku wote wanakuomba ukutane nao muda mmoja katka sehemu moja.utafanyaje?

kama unauliza hili? basi simply jua muda wako bado na huna haja ya kujua
 
Ivi,let say kwamba una wapenzi wawili ambao hawajuani,then siku ya siku wote wanakuomba ukutane nao muda mmoja katka sehemu moja.utafanyaje?
Mpenzi ni mmoja tu mwingine unapita....au unao tayari na Valentine inakuja hujui ufanyeje!
 
hivi huoni kwamba huo ni utumwa????????????

MIMI NIKO HURU BWANA JAPO KWA SASA NIKO SINGLE LAKINI NAAMINI NA KWA HAKIKA NDIVYO ILIVYO KWAMBA NI VIZURI SANA UKAWA NA MPENZI MMOJA, UKAMPENDA SANA, UKAJIACHIA KWAKE MAZIMA, NAYE AKAWA ANAKUPENDA SANA NA AKAJIACHIA KWAKO MAZIMA. UTAFURAHIA MAISHA POPOTE NA KUWA HURU NAYE; KWA KILA JAMBO NA KILA KITU.

Vinginevyo wewe ni mtumwa wakati wote utakapokuwa na mmoja wapo simu au msg ikipigwa/ikiingia unawaza sijui ni yule dem mwingine? mpenzio akishka tu simu unakuwa dictator.... YA NINI YOTE HAYO????? BE FREE WITH ONE YOU LOVE MUCH BWANA UTUMWA MWINGINE WA KUJITAKIA TU.
 
sioni utata hapo mkuu. kuna njia zaidi ya elfu za kudoji hayo maombi.
after all bado tupo kwenye mfumo dume... remember?

Jaribu ku-recreate problem yako tukusovie. Iweke ki-coincidence fulani hivi...
 
Back
Top Bottom