Recent content by Kangara

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa nyumba au kuendeleza ujenzi toka benki

    Habari ya mwisho wa wiki, Mimi ni mtumishi mwajiriwa serikalini, nahitaji kubadili mkopo wa kawaida ili nipate mkopo wa kukamilisha ujenzi, naomba ushauri.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada ameyakanyaga Bank ya ABC

    Mwambe hajiunge na mfumo wa ess.mbona atapata pesa si zaidi ya siku moja
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia mfumo wa utumishi Ess na PEPMIS

    Asante sana kwa ELIMU hii
  4. K

    JamiiForums Tanzania CRDB BANK tunaomba ufafanuzi baada ya mikopo ya utumishi kutumia mfumo wa ess

    Kuna shida kwenye mambo haya mikopo tunapigwa
  5. K

    JamiiForums Tanzania CRDB BANK tunaomba ufafanuzi baada ya mikopo ya utumishi kutumia mfumo wa ess

    Naomba ufafanuzi kimsingi baada ya maboresho ya mikopo kupatikana kwa sasa kwa utumishi mfumo wa ess.utumishi , kweli mambo yako safi "pongezi OR-Utumishi na mabeki kwa ujumla wenu". Hoja yangu tulipokuwa tunatumia mfumo wa zamani,hasa kwa Benki ya CRDB, kulikuwa na kitu kinaitwa processing...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kuelekezwa jinsi ya kujiunga na Mfumo wa Utumishi

    Naomba msaada toka kwa yeyote aliyefanikiwa kujiunga, au anafahamu jinsi ya kujiunga binafsi mfumo haufunguki. Link ya mfumo: https://ess.utumishi.go.tz [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli taasisi zetu na benki zetu hazina ubunifu mwingine juu ya huduma za mikopo?

    Kwa mtazamo wangu, naona ipo haya ya taasisi na benki za kuja na ubunifu mwingine juu ya utoaji wa mikopo hii ni pamoja na sera ya mikopo hasa kwa watumishi/waajiriwa binafsi sioni manti ya mtumishi kubaki na ⅓ya mshahara . Maana hata hiyo haitoshi kuendesha maisha ,Nafikiri mikopo itolewe...
  8. K

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank tunaomba ufafanuzi wa tangazo lenu hili

    Tunashukuru kwa maboresho ya huduma za kifedha kwa kutumia kidigitali. Mfumo www.ess.utumishi.go.tz haufunguki, binafsi naomba/tunaomba ufafanuzi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Changamoto za bima ya afya ya NHIF

    Mnasitisha huduma ya wategemezi au wanachama kwa vigezo mbalimbali: 1. Mwanachama /mtegemezi aliyeondolewa kwanini hapewi kibali cha matibabu wakati anarekebisha vigezo, wakati huo mmoja kati ya hao anapougua unalazimika kutumia gharama nyingine wakati makato yake yanaendelea. 2. Kwanini...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Walimu watakiwa kuacha kukopa Mikopo ‘Kausha damu’

    Ni kweli tunaweza kuacha mikopo ya kausha damu endapo benki zetu zitaongeza ubunifu ,wamengang'ani ⅓ya mshahara awezi kubuni njia mpya za kuwasaidia watumishi.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya Mock isitungwe kiholela wakati syllabus haijaisha

    Hili ni tatizo wanafunzi hawajafundishwa hata mada tano wapewa mtihani.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali kuja na package maalumu ya mikopo kwa ajili ya watumishi wa umma

    Naiomba Serikali kuja package maalumu ya mikopo kwa ajili ya watumishi wa UMMA. Ipo mikopo inatolewa na HAZINA, mikopo hiyo ni mizuri changamoto yake inatolewa fedha kidogo. Haitoshelezi mahitaji ya wingin watumishi katika Halmashauri na taasisi zake pia vigezo vinavyotolewa havindani na...
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki ni nani?

    Rafiki,ni dhana pana Kwa kiwango changu cha uelewa rafiki ni zawadi toka kwa Mungu, Unaweza kuwa na mke au mme mkawa marafiki , uweza kuwa na watoto au mtoto akawa rafiki yako ,kwa ufupi rafiki yako hukopi wala humkopeshi, unambebea ,anakubebea pia rafiki aweza kuwa tajiri au maskini ,Dunia ya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Loan processing fee

    Bila shaka unaingerea CRDB bank, kimsingi mtumishi wa Tanzania Hana mtetezi.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wanafunzi wengi kushindwa somo la Hisabati

    Maandalizi ya vitabu vyetu ni tatizo kubwa sana .
Back
Top Bottom