Changamoto za bima ya afya ya NHIF

Kangara

Member
Oct 4, 2021
31
32
Mnasitisha huduma ya wategemezi au wanachama kwa vigezo mbalimbali:

1. Mwanachama /mtegemezi aliyeondolewa kwanini hapewi kibali cha matibabu wakati anarekebisha vigezo, wakati huo mmoja kati ya hao anapougua unalazimika kutumia gharama nyingine wakati makato yake yanaendelea.

2. Kwanini hakuna mfumo wa kupunguza makato, baada ya mtegemezi/mwanachama kuondolewa kwenye mfumo wa bima?
 
NHIF nishirika linaloongozwa na vilaza ndio maana kuna ujinga mwingi ndani ya hilo shirika
 
Mnasitisha huduma ya wategemezi au wanachama kwa vigezo mbalimbali:

1. Mwanachama /mtegemezi aliyeondolewa kwanini hapewi kibali cha matibabu wakati anarekebisha vigezo, wakati huo mmoja kati ya hao anapougua unalazimika kutumia gharama nyingine wakati makato yake yanaendelea.

2. Kwanini hakuna mfumo wa kupunguza makato, baada ya mtegemezi/mwanachama kuondolewa kwenye mfumo wa bima?
Hawa wapo nafasi ya pili baada ya Tanesco kwenye orodha ya mashirika ya kipumbavu
 
Majibu kutoka NHIF

" Unatwanga maji kwenye kinu kijana, sisi tunataka pesa yako acha kulalamika, kama unahisi kuonewa hamia Burundi."

NHIF imevamiwa na walafi.
 
Limeni mpige pesa mtibiwe kwa keshi

Bima haziwezi kufanya kazi ipasavyo wakati hata Bomba la sindano kutengeneza hatuwezi
 
Limeni mpige pesa mtibiwe kwa keshi

Bima haziwezi kufanya kazi ipasavyo wakati hata Bomba la sindano kutengeneza hatuwezi

Yaani sijui hawa maprofesa na maphd sijui anasomaga nini huko shule au vyuoni hivi kwa nini tushindwe kutengeneza hata bomba la sindano drip ya maji kuongezea mjongwa jpm alishawishi weee lakini wapi aliwambia hela ipo nipeni tu mipango yenu
 
Izo changamoto ni kwa wanufaika wa bima hususani watumishi
Ila bima inachangamoto nyingi

Kwanza wanachelewesha maliko kwa wanaohudumia wanufaika wa bima

Masharti mengi kwenye ujazaji wa fomu
 
Back
Top Bottom