Recent content by kanewi

  1. K

    Simba SC 0-0 Young Africans SC | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

    Weka link [emoji821] ya live match
  2. K

    Mechi ya leo

    On line nawezaje kuicheki game ya leo? Nipo nje ya mji
  3. K

    Gentleman agreement

    Nahitaji kuwa na mtu mmoja wa kufanya nae biashara kubwa ya stationary kibwa sana mjini Bukoba,,awe seriously kwa hilo mimi nipo Dar es salaam ila ni mzaliwa wa Maruku,yeye awe ni mtu ambae makazi yake yawe Bukoba,, njoo ijbox tuongee
  4. K

    Duka la vinywaji

    Ngoma imekula 15m ila bado limepwaya
  5. K

    Naomba kujua ABCs za biashara ya vyombo vya nyumbani(jikoni)

    Nenda Kariakoo jilani na soko dogo,ulizia mtaa wa vyombo vyombo vya jumla
  6. K

    Duka la vinywaji

    Nashukuru,,ngoja jmosi nipatembelee
  7. K

    Duka la vinywaji

    Mohans ipo wapi mzee?
  8. K

    Duka la vinywaji

    Wakuu habari,,nataka kufungua duka la vinywaji hasa vileo kwa bei ya rejareja maeneo ya Tabata ila bei zangu nataka ziwe za chini kama kwenye super markets vile,,kama Wine, Whisky, Beer shampagne na soft drinks zingine,,,naomba kujua jinsi na wapi napata super supplier's wa hivi 1) Beer za...
  9. K

    Tovuti ya chuo cha Moshi

    Wakuu habari, Kuna tatizo gani na tovuti ya chuo cha Moshi Co-operative University? Ukifungua inakuja kialama kama namba nane ila kimealala na kuzunguka kama kinasachi bila kikomo, tatizo ni kwangu sijui jinsi ya kufungua au kila mtu. Nashindwa kuendelea na usajiri wa binti yangu aliechaguliwa...
  10. K

    Moshi Co-operative University

    Habari wakuu, Nataka kujua gharama za ada na michango mingine kwa mtu akichaguliwa toka Form Four kwenda chuo ni zipi?
  11. K

    Utafiti

    Utafiti unaonyesha kuwa panya buku ndie kiumbe kinacho furaia tendo la kujamiiana kuliko viumbe vyote duniani,, Panya buku dume hutafuta maficho ambayo hakuna kelele wala vurugu ya aina yoyote ile,maandalizi huchukua mpaka wiki kukusanya chakula na kukiifadhi sehemu hiyo ya faragha ambacho...
  12. K

    Ching Shih: Haramia hatari kuwahi kutokea

    Unaambiwa, alikuwa mzuri kama kadaownlodowa,,, mzuri hata akizeeka ataonekana tu
  13. K

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa R-Kelly,, Trapped in the closet chapter Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    R Kelly song

    Msaada, natafuta wimbo wa gwiji la Slow Jams R-Kelly unaitwa Trapped in the closet,wote,ni mrefu wa kama nusu saa, mwenye nao naomba. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    Hongera Hilda Newton kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa kichama wa Temeke

    Ulichotaka kuandika na ulichoandika vimepishana,, jihepushe kuchanganya lugha
Back
Top Bottom