Hivi siku hizi wameacha kuuana kwa sumu ya mamba?
Niliwahi kuishi wilayani humo na kusoma shule za Nansio Co Education School enzi za H/T Tungarazya, na baadaye Bukongo Middle School. Hiyo ni miaka ya mid sixties.
Walikuwa wanauana kikatili sana kwa sumu ya mamba, kuzamishana majini ziwani...
Naungana na wewe juu ya tatizo hili.
Siyo huko Mlimba Kilombero tu, hapa hapa Dar es Salaam yalipo makao makuu ya Airtel mtandao huu ni shida.
Maeneo ya Kisukulu Kimanga na hata Tabata mtandao huu haushiki mawasiliano, na ikitokea umeshika ni lazima uongee kama kiziwi.
Hivi airtel hamlijui...
Waliosimamishwa masomo ni "mbuzi wa kafara tu" ambayo sio utatuzi wa mgogoro wa mikopo kutoka HESLB. Huu ni ufumbuzi wa zimamoto ya muda mfupi sana.
Watatulieni wanachuo wa vyuo vyote vya elimu ya juu kadhia hii ya mikopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Laiti hata mie ningestuka mapema ningeandika barua ya kuacha kazi.
Wahenga walinena kuwa ajili nyumba ya njaa, kwani nilisubiri na misimamo yangu mwishowe nikabambikwa kesi. Time ya Utumishi ilinisafisha lakini kwa vile Ikulu yetu ilikuwa inayumba jamaa walikata rufaa (yenye masilahi)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.