Natambua dhamira njema aliyonayo mleta thread, lakini hoja ya msingi si vikao. Hoja ni bunge kupunguzwa kwa kuondoa; (1) Viti Maalum, (2) Nafasi 5 za BLW. Aidha mtoa thread hajaelewa nini anakusudia kwa tafsiri ya Bunge.
Kwa mujibu wa kanuni za kudumu za Bunge toleo la 2007, kikao cha bunge...