Recent content by kamau ngilisho

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lulu Apata Dhamana Sasa yuko Uraiani.

    Hahahahahaaaa...! Mkuu una mamboo..!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Unachukia or unampenda Diamond 'Platinumz'? Hii inakuhusu

    Wapambe mna mambo mwenyewe alitamka gari lake 45m sasa iyo 60m imetoka wapi?! unajua unachokiandika kweli?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Chadema nao kufanya mkutano arusha sambamba na cuf

    Mkutano wa Chadema ulifanyika jana maeneo ya Mwanama kata ya Olorien. Mida ya saa 11:43 msafara wa Lema Godbless ndo uliingia.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

    Dah..! unasoma darasa la ngapi Mkuu?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

    Ali Kiba Diamond Omy Dimpoz Queen darling Abdu Kiba wanatoka Kigoma
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ndege za Malawi zafungasha virago Ziwa Nyasa

    usimsifie sana hakawii kutangaza ndoa huyo.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Maumivu kwa wenye magari: Utaratibu mpya wa kulipia road licence, Gharama za fire zaongezwa

    uclalamike sana mkuu huo ni utaratibu ambao upo yawezekana wewe ni m1 wawale wanaoogopa trafic iyo30 ulotozwa ni faini ila kawaida stika ya fireni5000
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kukodisha Airbus ni mkataba wa kipuuzi - Mwakyembe

    mambo aloyaficha mbona EL alishayasema kwa kikao cha chama huko dom! na isitoshe Mwakyembe ni dr. wa sheria kwa iyo mikataba siyo kitu kigeni kwake so jipange na upunguze dharau.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

    kwaiyo unataka wakakope bank ili ktatua matatizo ya watz nenda jimboni kwake upate mchanganuo wa matumizi ya mfuko wa jimbo alafu ndo urudi na mipasho yako.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: VIPAUMBELE VYA KAMBI YA UPINZANI KWA MWAKA WA FEDHA 2012/2013

    nadhani kuna neno hujalisoma hapo juu badala ya ongezeko la mishaara anataka kodi ipunguzwe kwenye mishahara.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Ndala, Ndembezi, Nguzonane, Soko mjinga, Ngokolo. Hiyo ni SHINYANGA,
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wasanii 10 wa filam na Muziki wenye mafanikio Bongo

    mwingine ni Matonya ana yadi ya magari na bonge la hotel mjini Tanga.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha mkasi cha EATV, kinaelimisha nini?

    kipindi kinaitwa MKASI na kazi ya mkasi ni kukata na unatumika sana saluni ndo mana inakuwa ivyo.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni

    kuhusu posho mh.spika alitolea ufafanuzi kuwa mbunge yeyote ambaye hataki kupokea posho aandike barua aseme posho yake anataka iende kwenye mfuko gani lkn sio matumizi ya gari Pinda nae si alikataa gari jipya lkn sheria zilimbana na ana2mia cha msingi ni sheria zirekebishwe.
  15. K

    JamiiForums Tanzania maskini lulu

    'kapigwa sana kaumia na ana majeraha' vpi aende kujirusha na maumivu na majeraha hayo angekimbilia hsp myb ingesound kdg HUYO Dr. Hana jipya.
Back
Top Bottom