Unachukia or unampenda Diamond 'Platinumz'? Hii inakuhusu

hana impact yoyote katika life yangu so i neither like nor hate him, in short to me haexist
 
Wewe ndg yangu Mr.Africa unajenga nyumba ya nyota ngp?unamiliki gari la bei gn?imefika pahala tuache kua wapambe wa wenzetu,badala ya kutafuta cash unatafuta diamond anaingza bei gn per week!anakugawia ngp japo kwa mwaka?tupevuke akili jamani!
 
ajitaid kuwekeza la sivyo atazeeka vibaya!! simpendi kwa uma*ay* wake

hata wewe tukikuchunguza vizuri tunaweza kukugundua kuwa ni malaya!! Wewe ushabadilisha wanaume au wanawake wangapi ktk maisha yako? Diamond sababu anafahamika na wanamuandika magazetini ndo maana mnamuona malaya but hana chochote cha tofauti na nyie wengine mnaojitia wasafi..... ukiachana na boyfriend/girlfriend mmoja si unakuwa na mwingine baadae and life goes on, na ni kawaida kwa binadamu wote........ ila kwa diamond mnamuona malaya........... acheni hizo wabongo!!!
 
Watanzania mna roho ya kwanini sana, kwa hilo ni laana kubwa mko nayo

Umeona eeh Mojoki, wabongo watu wa ajabu sana, wamejaa wivu, chuki na choyo..... wanaona fahari kusifia wamarekani lakini mbongo mwenzao anaejitahidi hawawezi kumpa moyo zaidi ya kumkatisha tamaa......... Acheni hizo jamani, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!! Awe na domo asiwe na domo, ndie msanii anaye-hit bongo sasaivi, kubalini hilo.!! yeye ana domo, nyie mna nini??? mxiiiiiiuuuuuuu
 
Heee sio hater kwan ni lazima kila mtu amjue..to be honest hata mm diamond simjui ni nani?

Wewe ni hater to, huna lolote........... unless unambie unaishi uswekeni ambako hakuna hata redio wala TV (na internet cjui unaingiaje JF)........ diamond is everywhere, usipomuona ktk TV utamsikia redioni, usipomsikia redioni utamuona magazetini usipomuna magazetini utamuona ktk mitandao, sasa wewe mwenzetu unaishi wapi??? Acha hizo!!! chuki yako haimzidishii wala kumpunguzia lolote......... ni bora useme humpendi au humfeel ila sio humjui, si kweli ni kauli za ku-hate hizo
 
Kumiliki Gari la milioni 60 ni issue?
Kumiliki nyumba Tatu ni issue?
Kuna watu wanamiliki magari ya bei hiyo kama matatu na magorofa na unapishana nao kwenye kahawa....
Watanzania UMASIKINI umetujaa sana kiasi kwamba hata zile basic needs za mtu wa urban area kuwa nazo inaonekana kama ufahari
 
Kumiliki Gari la milioni 60 ni issue?
Kumiliki nyumba Tatu ni issue?
Kuna watu wanamiliki magari ya bei hiyo kama matatu na magorofa na unapishana nao kwenye kahawa....
Watanzania UMASIKINI umetujaa sana kiasi kwamba hata zile basic needs za mtu wa urban area kuwa nazo inaonekana kama ufahari

Kwa mtu kama diamonnd aliyekulia ktk umaskini na ambaye anapata pesa kwa kipaji chake ni suala la kujivunia!!!huyu dogo ana balaa mwacheni mashine anayotaka kuvuta hivi karibuni ni msiba kwa vijana wenzake wanaohisi jamaa atachoka kesho au keshokutwa!
 
Show za kutumia CD playback? fedha zilizovunwa kutoka kwa vibinti vya form two na four na baadhi ya female office secretaries wasiojua mziki ni nini na ambao ndio wateja wa bongo fleva?
 
Kumiliki Gari la milioni 60 ni issue?
Kumiliki nyumba Tatu ni issue?
Kuna watu wanamiliki magari ya bei hiyo kama matatu na magorofa na unapishana nao kwenye kahawa....
Watanzania UMASIKINI umetujaa sana kiasi kwamba hata zile basic needs za mtu wa urban area kuwa nazo inaonekana kama ufahari
We unazo?
 
Back
Top Bottom