Msoga, pwani
Humo kwenye * kuna herufi gani humo? Ungeweka hata herufi chache na * vingine tumalizie wenyewe, lakini hivyo tumashindwa hata ku-guess!**** MOTO(japan), Mwembe Kiuno(Mtoni kwa aziz ali), mahakama ya mbuzi vingunguti, njia panda ya ulaya(Dar, airport), Ngeleja Bwabwa(Sumbawanga), **** Nkutombe(Kibondo), Vijibweni(Kigamboni),Panua Niingize(ngara),Mamba Miamba(same), Ishinde(same), Kifaru(Mwanga)Kiboro-loni(Moshi),Makorora(Tanga), Horohoro(Tanga)........
Kwa ujumla majina yote
ni kituko ila tunayakubali kwa mazoea tu maana nimejikuta nacheka majina
ambayo kwangu nilikuwa nikionaga ya kawaida ila leo ndo nimegundua
kumbe bora yale ya Japani.
Mwidu-pwani, Kwedikwezi-Tanga, Ngurdoto, Kikatiti, Marangu,
Kigurunyembe, Magadu
Ndala, Ndembezi, Nguzonane, Soko mjinga, Ngokolo. Hiyo ni SHINYANGA,