Maumivu kwa wenye magari: Utaratibu mpya wa kulipia road licence, Gharama za fire zaongezwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu kwa wenye magari: Utaratibu mpya wa kulipia road licence, Gharama za fire zaongezwa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Njaare, Jul 28, 2012.

 1. N

  Njaare JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 1,075
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  [FONT=&quot]Wana JF, Leo nimestuka na hii kodi mpya kwenye magari. Mbona sikusikia kama chanzo kipya cha mapato ya serikali kwenye bajeti ya mwaka huu?[/FONT]
  [FONT=&quot]
  Leo rafiki yangu kaenda TRA kulipia road licence katika kituo kimoja cha TRA. Alipofika kaambiwa anatakiwa alipie na gharama za ukaguzi wa mtungi wa fire extinguisher kwa gari yenye cc 1500 hadi 2500 ni elfu thelathini (30,000/=). Na utaratibu huu mpya umeanza tarehe 23/07/2012. [/FONT]
  [FONT=&quot]
  Katika utaratibu huo mtu unatakiwa kulipia gharama za ukaguzi TRA halafu ukimaliza kulipa unaenda na risiti na mtungi wako Fire. Ukifika fire unakaguliwa ndipo unapewa stika.[/FONT]
  [FONT=&quot]
  Ninajiuliza, je hiki chanzo kipya cha mapato kimekuja baada ya bajeti au kilikuwepo ila kilijificha kama kile kipengele cha SSRA?[/FONT]
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  ukiona tabu uza gari yako upande toyo..
   
 3. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Black market by your govt.
   
 4. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Acha majibu ya ki-mramba mramba, ni majibu ya kishetani hayafai kuyatoa ikiwa ww ni bin-adam uliyo 'perfect'. Hili suala ni la msingi cz unatoa hiyo 30,000 au 40,000 then haupewi mtungi bali unanunua mwenyewe, so the questions are, What are we paying for? Why is such huge amount like that?
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  ujumbe ni kwamba kama hela yako haijatimia usinunue gari, otherwise unatoa wrong impression kuwa unazo kumbe kabwela tu. duniani kote wene kipato kikubwa ndio wanaolipa kodi kubwa..siitetei serikali lakini ukweli wa mambo ndio huo.
   
 6. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mmh hapa tunakoelekea kutakuwa na gap kubwa kati ya wenye nayo na tusiokuwa nacho. Mbaya zaidi tusiokuwa nacho wengi ni wasomi wazuri
   
 7. d

  dagjrtz Member

  #7
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Eti wanadai hiyo ni gharama ya ukaguzi you pay in advance na kutokana kwamba wengi walikuwa hawalipii stika za faya wanadhani TRA ndiyo wanaweza kukusanya.

  Abdulrahim acha majibu yenye mtazamo hasi na kukatisha tamaa, hata kwa kutumia kiasi kidogo cha pesa mtu anaweza kumiliki gari inayoendana na uwezo wake,
   
 8. B

  BAKARI MBAGA Member

  #8
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  t
  Tatizo c kulipa hizo 30000,ttz ni je zinatumika kufanyia kazi gani?.usikute zinaishia kwenye posho za safari na vikao visivyo na tija
   
 9. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Hapa mwanza sasa paking ni sh 900 gari imeshakuwa anasa
   
 10. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Hapa mwanza sasa paking ni sh 900 gari imeshakuwa anasa na viongozi wanajitahidi kutuminya kila kona,gas,mafuta,umeme
   
 11. k

  kamau ngilisho Member

  #11
  Jul 28, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uclalamike sana mkuu huo ni utaratibu ambao upo yawezekana wewe ni m1 wawale wanaoogopa trafic iyo30 ulotozwa ni faini ila kawaida stika ya fireni5000
   
 12. M

  Mbarute G.Ngera New Member

  #12
  Jul 28, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii niliiona kwenye matangazo ya TRA wakiwa pamoja na watu wa fire, ili kupunguza usumbufu wa ukusanyaji wa mapato. Watu wa fire watakuwa wanachukua asilimia 70 nyingine zinabaki TRA. Kwa zoezi zima wanategemea kupata kiasi cha milioni kumi.
   
 13. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kweli na huo ndo ukweli wenyewe lakini the way ulivyomjibu ndo ameshangaa!!!!! it was simple kumwambia kwa plain language ukiwa na nia ya kufikisha ujumbe wako kama ulivyodhamiria
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Acha kubonga pumba mambo mengine ni wizi mtu
   
 15. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  kaka bado pia unatakiwa kuwa na "stika ya Geneza"
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu huyu jamaa siyo kosa lake bali alibemendwa
   
 17. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #17
  Jul 28, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  elfu 30 ni pesa ya mafuta ya siku moja. Not a big deal for car owners.
   
 18. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  swaum kali
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hata mimi nimekutana na hiyo kodi nikaishia kushangaa....

  Tatizo la viongozi wetu ni kwamba wanataka kuishi bila kusumbua akili....Yaani hawakuni vichwa kutafuta vyanzo vingine vya mapato ambavyo kiukweli vipo vingi sana. Badala yake wanaangalia kodi kwa wafanyakazi (PAYE), kodi kwenye vinywaji baridi/bia na magari!
   
 20. I

  Ichobela JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Seriously,thz 2oo much!Sticker 30,000 na bora na ukaguz ufanyikie hapo TRA,kupewa nayo itakuwa the other story...!Thz TZ...
   
Loading...