Kizamani
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 418
- 108
Kiukweli kwa jinsi Mzee Mwakyembe, Balozi Kagasheki na watendaji wanavyoanza kufunguka CDM waandae agenda nyingine haraka sana. Ama sivyo watajikuta wanaimba zilipendwa wakati wananchi wanageukia Zinapendwa!
Hatuna haja ya agenda nyingine mkuu, hawa watazimika sasa hivi, kama unabisha kamuulize Mama Tiba. Au umesahau Magufuli na bomoabomaa yake, ilibid andike barua ya kujiuzulu.