Recent content by kamanda5ch

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nitumie dawa gani kujitibu U.T.I

    Pole mkuu hiyo sio UTI ,hiyo ni Gonorrhea ,nenda hospital wakuandikie dozi ya Gonorrhea.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku niliyokutana na jini kwenye daladala

    Mhhh Wewe umesema ni Fundi lakini ulienda kununua kitanda cha inch 4 kwa 5 ......Fundi maiko kweli muda mwingine hata waandishi wa habari wanafanya tafiti kabla ya kuandika
  3. K

    JamiiForums Tanzania Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

    https://www.marca.com/en/football/real-madrid/2019/07/22/5d36074922601d81118b456e.html
  4. K

    JamiiForums Tanzania Simba wameingizwa choo cha kike, kocha Pablo ni magumashi

    Unalijua gazeti la Marca la Spain Wewe au ndio wakenya wanaliandikia [emoji3][emoji3] https://www.marca.com/en/football/real-madrid/2019/07/22/5d36074922601d81118b456e.html
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wamasai wawapa sumu simba mbugani

    Video Ina miaka mitatu Sasa imepita
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo la mdomo kuwa na ladha ya uchungu

    Check UTI, punguza uzito ,fanya mazoezi utakuwa Safi na kunywa maji mengi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kipanya na hali ilivyo ndani ya CCM

    Hujamuona huyo Mkuu "PAPA" anawaangalia Sent using Jamii Forums mobile app
  8. K

    JamiiForums Tanzania MAJOR GENERAL QASSEM SOLEIMAN: A Fully Trained Commando na mbabe katika medani ya vita eneo zima la Mashariki ya Kati na Afrika ya Waarabu

    MBABE KATIKA MEDANI ZA KIVITA MEJA GENERAL QASSEM SOLEIMAN Na Masudi Rugombana Mbabe na mwamba katika medani za kivita katika eneo lote la Mashariki ya kati General Qassem Soleiman ameshamaliza majukumu yake na sasa amepumzika katika ufalme wa Mungu huku harakati zake zikiwa zimeshaonekana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania MAJOR GENERAL QASSEM SOLEIMAN: A Fully Trained Commando na mbabe katika medani ya vita eneo zima la Mashariki ya Kati na Afrika ya Waarabu

    Hili andiko wewe umeliiba sehemu Kwanza ,hapo umesema amekufa Jana tar 2 hii inaonyesha Ni copy and paste . Wakati wewe umeliandika Leo tar 6 Hili bandiko linazunguka huko WhatsApp tokea tar 3 na muandishi kaweka contacts zake. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. K

    JamiiForums Tanzania Simulizi Ya Kweli: Msako Wa Mange Kimambi

    Endelea
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Ielezee kwa urefu ili tuelewe ,na tukomeshe wizi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wapi Taifa linaelekea?Huyu ni Mwanafunzi kidato cha Tatu.

    Watu wa hivi hata Marekani na ulaya wapo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. K

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Vipi kuhusu tabia ya baadhi ya madereva kuchezea GPS na kuongeza gharama ya safari ? Mfano unaweza kutembea umbali wa 4 km lakini mwisho wa safari itaonekana 12km Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    JamiiForums Tanzania AS Vita waingia mjini kikomando

    Subiri khanga Sent using Jamii Forums mobile app
  15. K

    JamiiForums Tanzania Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

    Nguvu za kiume kwa waliooa ni tatizo sababu ya mazoea na mke lakini akienda kwenye game za mchangani anaweza kupiga hata 5
Back
Top Bottom