Naomba msaada wa tatizo la mdomo kuwa na ladha ya uchungu

Mkwawa mnyalukoro

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
232
136
Msaada jaman,

Nina tatizo la mdomo kuwa na ladha ya uchungu na viungo vya mwili kuuma nini tatizo? nimezunguka hospital mbalimbali na kuchukua vipimo mbalimbali na jana tu nimepima UKIMWI lakini tatizo halionekan je naweza kuwa na shida gan mwilin mwangu?

NATESEKA SANA NI MWAKA WA NNE SASA

Msaada tafadhar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda wowote kaka ni mwaka wa NNE sasa nimezunguka hospitali nyingi bila mafanikio

Sent using Jamii Forums mobile app

Maswali yangu wala hujajbu yaan you are too general. Kwa style hiyo utazunguka sana mahospital. Ugonjwa ukisshaona umezunguka sana na hujapata tiba lazma ujifanyie research ww mwenyewe. Mimi nimekuuliza maswal kama manne hivi ila umejibu moja tena kwa kulipua. Pole sana na ugua pole
 
Msaada jaman,

Nina tatizo la mdomo kuwa na ladha ya uchungu na viungo vya mwili kuuma nini tatizo? nimezunguka hospital mbalimbali na kuchukua vipimo mbalimbali na jana tu nimepima UKIMWI lakini tatizo halionekan je naweza kuwa na shida gan mwilin mwangu?

NATESEKA SANA NI MWAKA WA NNE SASA

Msaada tafadhar

Sent using Jamii Forums mobile app
Check UTI, punguza uzito ,fanya mazoezi utakuwa Safi na kunywa maji mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom