Bashiru anamuogopa sana Membe kila akisikia jina la Membe anatetemeka miguu na mikono kwa khofu.
Great thinker!Kwanza wamekaa baharini, ambapo tafsiri yake wakicheza vibaya chombo kinazama muda wowote.
Pili, bwana mkubwa aliyeko hapo anaonekana hajashika karata yoyote, inamaana kama ni mchezo basi yeye hayumo kabisa japo ni kiongozi.
Tatu, waloshika karata wote wanaonesha wameshika magarasa, ambayo hayawezi wasaidia chochote kwenye mchezo.
Nne, waliopo kwenye mchezo inaonekana hawana ushirikiano, kuna ambao wameziacha karata zao na wamezama chini ya meza, ila kwa kuwa wamo baharini watakimbilia wapi?
Unforgetable
Kinachoonekana ni makada wako busy kazini mvua na jua vinawanyeshea wakiwatumikia watanzania VIVA JPMA, VIVA CCM.. Macomredi wanapiga kazi balaa, kifupi wako field muda wote wakiongozwa na jemedari JPM..
Hahahaaaa........kama Zitto na alhaj Bulembo!nimegundua unampenda sana huyo mzee mgaya,
au ni baba mkwe wako?
Kwamba siku ile kwenye kikao cha maadili watu waliishia kucheza Karata tu
Sent using Jamii Forums mobile app
hivyo vidole mbona kama vya chakubanga?Huyo mwenye dume la " kopa" sijui atakuwa nani?
Wajameni wenye macho na watazame na wale wakali wa ujuzi wa kusoma habari picha basi mtufungue macho hapo chini. View attachment 1350558
Sent using Jamii Forums mobile app

kwani huyo babu yako yupo kwenye hiyo kamati?
Hujamuona huyo Mkuu "PAPA" anawaangaliaKwanza wamekaa baharini, ambapo tafsiri yake wakicheza vibaya chombo kinazama muda wowote.
Pili, bwana mkubwa aliyeko hapo anaonekana hajashika karata yoyote, inamaana kama ni mchezo basi yeye hayumo kabisa japo ni kiongozi.
Tatu, waloshika karata wote wanaonesha wameshika magarasa, ambayo hayawezi wasaidia chochote kwenye mchezo.
Nne, waliopo kwenye mchezo inaonekana hawana ushirikiano, kuna ambao wameziacha karata zao na wamezama chini ya meza, ila kwa kuwa wamo baharini watakimbilia wapi?
Unforgetable
Kwanza wamekaa baharini, ambapo tafsiri yake wakicheza vibaya chombo kinazama muda wowote.
Pili, bwana mkubwa aliyeko hapo anaonekana hajashika karata yoyote, inamaana kama ni mchezo basi yeye hayumo kabisa japo ni kiongozi.
Tatu, waloshika karata wote wanaonesha wameshika magarasa, ambayo hayawezi wasaidia chochote kwenye mchezo.
Nne, waliopo kwenye mchezo inaonekana hawana ushirikiano, kuna ambao wameziacha karata zao na wamezama chini ya meza, ila kwa kuwa wamo baharini watakimbilia wapi?
Unforgetable
Kama nimekuelewa vileKamati iliyomuita membe ilishindwa kumhoji bali walikuwa wakicheza karata na yeye alikuwa mbele yao
Kinachoonekana ni makada wako busy kazini mvua na jua vinawanyeshea wakiwatumikia watanzania VIVA JPMA, VIVA CCM.. Macomredi wanapiga kazi balaa, kifupi wako field muda wote wakiongozwa na jemedari JPM..
KAMA KWELI IVI, ILA KWA MBAALI UNAWAONA PAPA, HAPO SIJUI MAANAKE NINI?Kwanza wamekaa baharini, ambapo tafsiri yake wakicheza vibaya chombo kinazama muda wowote.