Recent content by kallist

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

    Hahaha! ...nadhani ni matukio ya muda tu...simu kiunoni....kuvaa flash shingoni...funguo za gari etc....yatakuja na yatapita.....labda itafuata kutembea na vyeti kwenye [emoji12] briefcase[emoji3]
  2. K

    JamiiForums Tanzania Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Inawezekana kujinunulia dawa hovyo na kwenda dispensary za uchochoroni ndio shida yako... Ushauri: 1. Nenda hospitali kubwa kuanzia ngazi ya wilaya uonane na wataalamu 2. Omba wakufanyie culture &sensitivity ya huo mkojo 3. Piga ultrasound ya figo, kibofu, ureters ili kuonekane kama kuna shida...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    Uchungu ni mafuta....ila mambio sasa duh!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Harrier Lexus 5.9 million tu

    Lexus harrier zipo...hata mm ninayo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Gonjwa la Sukari (Diabets Mellitis): Fahamu chanzo, aina na ushauri wa tiba ya tatizo hili

    Kwanza jifunze kuandika kwa ufasaha: sukali=sukari,
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata dawa hizi za Genital Warts

    Ushauri wangu 1.ijue serostatus yako kwanza....pima HIV 2.kama lesions ziko nyingi....shauriana na daktari wako wakufanyie kitu inaitwa electrocautery under LA 3.podophylline na silver nitrate may take years to remove those warts. ...labda kama ni viko vichache sanaaa... 4. Ungerudi kwa daktari...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Miguu ya Nani?

    Upuuzi mtupu...sasa tukishajua ili yatusaidie nn hayo mamiguu[emoji124] [emoji124]
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Kweli akili ni nywele. ....kuna kitu inaitwa zoom mic kwenye video kamera acheni uju.......
  9. K

    JamiiForums Tanzania Makonda anakikosi cha ujasusi?

    My leg!
  10. K

    JamiiForums Tanzania The truth about Nape Nnauye ( Ukweli kuhusu Nape Nape Nnauye)

    Mtume Paulo alikuwa Sauli
  11. K

    JamiiForums Tanzania Fuata nyuki ukafe mzingani

    Heri mbwa mmoja aliye hai kuliko simba mia moja wafu.....
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari wa maradhi ya moyo Mtanzania atambuliwa Marekani

    Hahaha! ..abandike hizo paper alizofanya utafiti tuone
  13. K

    JamiiForums Tanzania Aisee ukweli ni ukweli tu

    [emoji12] [emoji12] katoka kupiga puny....
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

    1. Commando by Anord Schwazznegger 2.Enter the dragon by bruce lee 3.Loha kuna jamaa anaitwa Amrish dah....shida lazima umuote 4.movies za james bond. ...never say never, the spy who loved me, dr no..etc 5.American Ninja part 1...kuna mzee alikuwa trainer wa dudikoff...teh! Tulikuwa tunamwita...
Back
Top Bottom