Fuata nyuki ukafe mzingani

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,106
8,044
IMG_20170319_105940.jpg

Pole sana Mh. Nape.
 
Maisha yanaendelea, hata yeye alijua matokeo yake lakini akaisikiliza nafsi yake. Sasa ni shujaa katika sakata hili. Unajua kuna watu hawawezi kuishi kwa kulamba miguu ya mabwana zao, hawa ni watu wanajiamini, na wengine mkate wao wanaupata kwa kujikomba na kujibeibisha
 
hivi mnamuitaje nape shujaa mnasahau kama huyu juzi juzi ndo alikua na jeuri na jicho lake la dharau juu ya bunge kuwa live na sababu za ki maiti maiti tu ...oky let say alikua anatumwa Sasa kwanini asingeonyesha utofauti tangu pale awali kwamba haafiki aje leo hi kizembe tuu kutafuta sympathy kwa watanzania kizembe tuu baada ya kuona nae kwake safina imeanza kuwasha indicator ya kuzama huu ni unafika wa hali ya juu yani mpaka yakufikie ndo ujifanye unaelewa hapana..No mercy mawazo ya mimi hapa
 
Una theory nzuri mkuu
 
Kama kuna mtu aliyekuwa 'promoted' kirahisi kiasi cha kuweza hata kuwa kiongozi wa juu nchi hii baadae ni Nape Nnauye!... Mtaniambia!... Mtayakumbuka haya miaka ijayo!...
 
hivi mnamuitaje nape shujaa mnasahau kama huyu juzi juzi ndo alikua na jeuri na jicho lake la dharau juu ya bunge kuwa live na sababu za ki maiti maiti tu ...oky let say alikua anatumwa Sasa kwanini asingeonyesha utofauti tangu pale awali kwamba haafiki aje leo hi kizembe tuu kutafuta sympathy kwa watanzania kizembe tuu baada ya kuona nae kwake safina imeanza kuwasha indicator ya kuzama huu ni unafika wa hali ya juu yani mpaka yakufikie ndo ujifanye unaelewa hapana..No mercy mawazo ya mimi hapa
Tatizo watu wengine huwa hamsomi kwa kutulia sababu ukianza sentensi ya kwanza tayari una majibu. Nimesema "katika sakata hili" full stop!!!
 
Tatizo watanzania huwa hamsomi kwa kutulia sababu ukianza sentensi ya kwanza tayari una majibu. Nimesema "katika sakata hili" full stop!!!
Usigeneralize watanzania wote kwa kupitia mimi tuu unawakosea .. Unafki ni unafki tu et kwa swala hili ..Jasiri hana double standard kuwa mwelewa
 
Maisha yanaendelea, hata yeye alijua matokeo yake lakini akaisikiliza nafsi yake. Sasa ni shujaa katika sakata hili. Unajua kuna watu hawawezi kuishi kwa kulamba miguu ya mabwana zao, hawa ni watu wanajiamini, na wengine mkate wao wanaupata kwa kujikomba na kujibeibisha
Ushujaa wa Nape ni pale alipohakikisha bao la mkono linafungwa..atakumbukwa kwa uzalendowake kupitia hilo...mengine labda atueleze Harmorappa
 
Back
Top Bottom