Recent content by kalitunga

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sifa za Binti wa kimeru

    wakorofi hasa wanapokuwa maeneo yao ya arumeru.na mara nyingi hawapendi kuolewa nje ya wilaya yao
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mungu mkubwa! Soma jinsi huyu alivyopona kwenye ajali

    ashukuliwe mungu aliye juu
  3. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Kamanda James Kombe afariki dunia

    watanzania wengi bado akili zetu ni kama za mende sasa mtu katangulia mbele ya haki badala ya kumtakia heri mnaanza majungu.mjinga mmoja anasema eti bora angekufa kova ------- ww mungu akusamehe bure unaweza kuanza ww sasa hv
  4. K

    JamiiForums Tanzania Aliye tayari kuolewa na mimi anitext

    weka vyeti
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

    watanzania bna bado wengi wetu akili zetu fupi kama maisha ya funza yani mtu anaenda zake marekani kutalii na mkewe nyie mnaangaika eti kwenda kumpokea
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanga Sirudi Tena...

    pole jifunze kutulia mpendwa
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Korogwe (GAMBO) ananyanyasa raia

    we unaongea pumba kojoa ukalale.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hali bado ni tete Mbeya: Magari ya kuwasha yananyunyizwa Mwanjelwa

    kibosho mawazo yako ni finyu.mnataka mfanye fujo polisi iwaangalie tu mfanye mtakavyo.mandazi wew
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa wazi wa PONGEZI kwa rais Kikwete kwa uongozi uliotukuka

    tumia busara wakati unahandika upumbavu wako utakamatwa ufungwe bure maskini mkubwa waheshimu viongozi wako fanya kazi usitegemee hela zitakufata nyumbani.bogas wew
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ninayo laki sita (600,000) nahitaji smart phone mpya.

    hyo pesa bora huwasaidie wazazi wako
  11. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa awatembelea Majeruhi wa Kijeshi

    sijaona jipya hapo zaidi ya kujipendekeza kwa wazungu mbona hapa kwetu kuna matatizo mengi tu lkn kilichompeleka marekani ni kutalii tu hana jipya.jipangeni upya
  12. K

    JamiiForums Tanzania Polisi, Jeshi na vyombo vya Usalama Tanzania mjiepushe na Ujinga Huu

    gud advise I like it
  13. K

    JamiiForums Tanzania Uvamizi wa westgate mall kenya siri zaidi yaibuka

    wabongo bna yametokea kenya badala kusikitika mnaanza kuingoza siasa zenu za bongo.eti majeshi yapo kwa ajili ya upinzani.mpeleke mwanao akawe mwanajeshi c unaona rahic
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kama hata IGP Mwema ni mbumbumbu wa sheria za nchi, basi nchi hii kwisha kazi yake!

    huyu naona ni chadema mbumbumbu asiyejua kitu.polisi wana haki ya kusimamia mikutano na kukataa kutoa vibali pale wanapoisi kuna uvunjifu wa amani.sasa wewe unaleta siasa za mtaani
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Lazima wabunge watandikane makonde ndani ya Bunge ili heshima iwepo

    umri umeshamtupa mkono dr slaa
Back
Top Bottom